chuki
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 2,715
- 534
Aliyekuwa mlinzi na msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema amejiunga na CCM, itakumbukwa pia dada yake Mbowe ambae sasa ni Marehemu aliwahi kujiunga na CCM.
Huu ni ushahidi kuwa chama kinakufa kifo cha taratibu kabisa, watu wa karibu na Mwenyekiti wanahama na kujiunga CCM, Mbowe anawafanya nini?
Kuna nini cdm?
Source: Jambo leo
Huu ni ushahidi kuwa chama kinakufa kifo cha taratibu kabisa, watu wa karibu na Mwenyekiti wanahama na kujiunga CCM, Mbowe anawafanya nini?
Kuna nini cdm?
Source: Jambo leo
Claude Mosha ambae ni mlinzi wa club ya usiku ya Bilicanas inayomilikiwa na mfanyabiashara ambae pia ni mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe amejiunga na ccm.
Hili lilifuatiwa baada ya mlinzi huyo kukamatwa akiwaibia wateja waliofika klabuni hapo kuburudisha akili zao,
Tarehe 10/3/2014 usiku katika sehemu ya maegesho ya klabu hiyo Mosha alikutwa na walinzi wenzake akivunja vioo vya moja ya gari la mteja wa klabu hiyo aliyefahamika kwa jina la Mr Gash,
Sakata hili lilifikishwa mbele ya uongozi wa klabu hiyo, na Mosha akasimamishwa kusibiri adhabu ya mwajiri wake aliyekuwa safarini wakati wa tukio,
Wiki iliyopita mtuhumiwa akakimbilia ccm ambako ni makazi ya wezi na vibaka nchini.