Mlinzi wa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu

Mlinzi wa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu

Hivi huyu mdada ameolewa??...Na kama ameolewa....hivi mume wake anajiskia vipi...leo yupo Dodoma,kesho Morogoro n.k.....Duhhh!!!!!...
Haya mambo, ni ya mke na mume, (mambo binafsi)
hayamuhusu mtu mwingine yeyote! hayavunji sharia yeyote, wala hayaingilii mambo ya mtu yeyote, hayastahlii kuhojiwa na asiyehusika, hii ni kuingilia faragha za watu.yanaweza yasiwe na mwisno mwema.
 
Kuna umri ukishafikisha sex sio kitu cha muhimu kiviile... Yan mnaweza kugusana mara moja tu kwa mwezi ikatosha... Nyie wa ndoa changa ndio mnataka mbanduane on the daily basis...
 
Hivi huyu mdada ameolewa??...Na kama ameolewa....hivi mume wake anajiskia vipi...leo yupo Dodoma,kesho Morogoro n.k.....Duhhh!!!!!...
Hata kama kaolewa, je wanawake wenye waume wenye kazi za kusafiri safiri mfano driver wa lori kinachanja mbuga to DRC Congo hua wanajisikiaje?, au wewe unaangalia upande mmoja tu?
 
Huwa ' wanakeketwa ' na wanakuwa ' hamuless ' hivyo haiwapi shida wawapo Kazini katika ' utekelezaji ' wa Majukumu yao ' Nyeti '.

Wakeketaji walikuwa zamani Siku hizi Wakeketaji wenyewe wa kughushi!

Unakuta Binti kakeketwa lakin n minyege hatari Muda wote
 
Sikulaumu tatzo hauna upeo na unayohoji,,,,,wakati mwingne ujifunze kwanza kabla ya kuchangia au kutoa uzi ambao hauvitambui kiundaniii
Kojoa ukalale sasa usijechelewa shule kesho.
 
Ninamashaka na umri wako yaweza kuwa ndio unaanza balee mnakuja kutusumbua huku ,,,bado wanuka maziwa ukikuavhautohoji mambo ya watu tena ya ndaniii
Wewe hata kuandika kwa ufasaha huwezi bado unabisha kuwa wewe siyo mtoto.
Tatizo lingine linalokusumbua ni kutokujitambua.
 
Mkuu huwa anasafiri na mumewe kila anapokwenda.
 
Usiwe unabishania vitu usivyovielewa.
wewe ndio hujui unachoongea. umekalia roho mbaya tu na kuonea wivu askari na walinzi wetu. akiwemo huyo anayemlinda samia

bila shaka wewe upo nyumbani huna hata kazi.
pole sana endelea kusubiria kazi
 
Huwa ' wanakeketwa ' na wanakuwa ' hamuless ' hivyo haiwapi shida wawapo Kazini katika ' utekelezaji ' wa Majukumu yao ' Nyeti '.
Nitaamini vipi ulichokiandika?.Unaweza kutuwekea uthibitisho wa usemi wako?.
 
Mkuu, hao pia huolewa lakini sijajua kuhusu huyo mama.

Lakini ninachotaka kukueleza ni kuwa hawa Vijana wa Usalama huchunguzwa kwanza wanapotaka kujiingiza katika ndoa na kujenga familia. Kama unataka kuoa au kuolewa, mwenza wako huchunguzwa zaidi ili kujua kama hatakukwamisha katika kutimiza majukumu yako ipasavyo.

Hivyo, unaweza kuwa na mwenza wako lakini ukanyimwa kuoana naye kwa sababu za Kiintelligensia.

Hivyo, mume wa huyo mlinzi wa Mama Samia huenda hata mumewe ni sehemu ya Usalama. Hivyo mara nyingi huwa pamoja, na usiku hukutana kama kawaida. Wakati mama Samia akienda kupata usingizi na kupumzika, huwaachia vijana wengine majukumu na muda huo hupata muda wa kujumuika na mumewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom