Mlinzi wa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu

Huwa ' wanakeketwa ' na wanakuwa ' hamuless ' hivyo haiwapi shida wawapo Kazini katika ' utekelezaji ' wa Majukumu yao ' Nyeti '.
Acha fix doogo kuna mmoja yule mwenyr jina la M ana mume na watoto 2 ila najua yule A ana mahusiano rasmi! Boya upo?
 
Vijana wa kitanzania hatuko makini, yaani kijana anayeweza kuunda uzi JF lakini bado hajui makamo wa rais wa Tanzania kwamba kaolewa au la!
Kijana lazima ujue angalau basic ya nchi yako ikiwemo kuwafahamu top leaders 3 .
Mama ana mume , kuna vijana humu wanamwita binti. Hivi mnajua maana ya binti?
Mkuu nimeongelea bodyguard!
 
Aliishaolewa harusi yake tulikula ubwaubwa balaa.

Mume wake hasikii, ni kiziwi, hasikii chochote.
 
Vijana wa kitanzania hatuko makini, yaani kijana anayeweza kuunda uzi JF lakini bado hajui makamo wa rais wa Tanzania kwamba kaolewa au la!
Kijana lazima ujue angalau basic ya nchi yako ikiwemo kuwafahamu top leaders 3 .
Mama ana mume , kuna vijana humu wanamwita binti. Hivi mnajua maana ya binti?
Kaangalie kama matokeo yako ya form 2 yametoka. Hata hujajua mada inahusu nini.
 
unalalamika huna kazi kwa kufuatilia maisha ya mwenye kazi
 
Hatakama anaishi kwa kodi zetu ,maisha ya mtu hayakuhusu nazani akili yako kama haijakomaaa vile
Kama unahisi hizo ni hisia zako, hazinihusu.......lazima tujue watu wanaotutumikia ni wa namna gani.Hata kama ni muhamihaji haramu utasema maisha yake hayatuhusu?
Mbona mimi nikienda kuhudumiwa kwenye taasisi za serikali naulizwa umri na marital status yangu na sijawahi kuwajibu haviwahusu?
 
Sikulaumu tatzo hauna upeo na unayohoji,,,,,wakati mwingne ujifunze kwanza kabla ya kuchangia au kutoa uzi ambao hauvitambui kiundaniii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom