Mlinzi wa Gwajima kortini Kisutu

Mlinzi wa Gwajima kortini Kisutu

Tunesha hao ni akina nani. Au unakiherehere tu?

Hujaona waliokula fedha ya Ruge? mpaka maaskofu ndani? au hilo hulijuwi?

EPA watu wanatumikia kifungo, hulijuwi hilo?

Wewe hadi tukubake ndo kiherehere chote kiishe,nyambafu zako mwanamke hovyo wewe,kila uchafu wa ccm unautetea tu.
 
Tushawajua wafuasi wake wana makelele balaa.. au mmetoka ukoo mmoja, nashindwa kuwatofautisha..
 
Polisi na wote walio nyuma ya hili la kumfikisha mlinzi huyo mahakamani nawashauri ondoeni, ni aibu kwenu na pigo katika uchaguzi ujao. Mnajua maana ya kumiliki kitu, nyie jiondoeni ufahamu tu mwisho utauona. Uonevu huo, mnajua wazi huyo mlinzi hamiliki hiyo silsha wala hizo risasi, mnamjua mmiliki wake, kova aliroka kuwa Gwajima haimiliki kihalali kwani hana kibali baadaye kwa aibu akasema ni yake na ana kibali, sasa mnakuja kwa mlinzi wake anaimiliki isivyo halali. Mnataka tupate picha kuwa mlitaka kumuua mkadhindwa baada ya kuagiza silaha na sasa mna hasira na mlinzi iliyebeba begi la gwajima kumpelekea hospitali.
Hawa mawakili wa serikali nao wanakubali kuendesha shatakankama hilo wakijua hawana cha kupoteza wakishinda au wakishindwa, serikali italipa tu. Tanzania htuna utaratibu wa kudai mabilioni kwa kuzushiwa mambo na polisi, wangekuwa na adabu.
Mkae mkijua mungu yupo na anawaona. Kama sio leo ni kesho
 
hizi hbr za gwajma cjui promotion itaisha lini ?!

mara maaskofu wa gwajma..
tusibiri na waumin wa gwajma na thread zao
 
Tuoneshe hao ni akina nani. Au unakiherehere tu?

Hujaona waliokula fedha ya Ruge? mpaka maaskofu ndani? au hilo hulijuwi?

EPA watu wanatumikia kifungo, hulijuwi hilo?

Faiza Foxy hivi wewe una mafungamano na wale jamaa wa kusort watu kwa misingi ya dini na kuuwa kwa risasi? Maana post zako zote zina chachu za kidini...
 
Emma, achana na huyo ni alshabab. Tena usichangie mada zake humu jamvini.
wakati mwingine tunatakiwa kuchangia kuepusha upotoshaji unaofanywa na hawa majizi ya ccm.
 
hao wachaga mbona wamejaa sana mahakamani huko??? mara kimaro , mara kweka , mara massawe , aisee wachaga shikamooni
 
Silaha zipo kihalali kwa maelezo ya kova kuwa gwagima anamiliki izo siraha,ssa iweje tena umiliki wa pili ktk izo siraha kama mmiliki halali yupo? Mnawapa sifa wakina kibatala bure hapo. Au inaruhusiwa kuwa na double umiliki wa siraha na pia kweka siraha zilikua ktk beg moja kwa maelezo ya kova ssa iweje uwashitaki watu watatu kwa kubeba beg moja ?
 
Press release ya kwanza ya kova alisema hazimilikiwi kihalali sijui uwa analazimishwa na mabwana zake au anakurupuka.
 
Press release ya kwanza ya kova alisema hazimilikiwi kihalali sijui uwa analazimishwa na mabwana zake au anakurupuka.

mimi binafsi huwa namshangaa sana kova anapenda sana waandishi wa habari wakati hana uhakika kwa nn asikae kimya mpaka uchunguzi wa kina ufanyike kwani ana haraka gani anakua kama yupo ktk chumba cha mtihani muda woote. Kazi kweli utadhani watafungwa kumbe kelele tuu. Tutaendelea kweli kama watu wanafanya kazi kwa kutafuta heading za magazeti ya kesho? Tukijisahau na maswala haswa yanayotuhusu na kuidhuru jamii moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom