Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,991
15,413
1713876972921.png

Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike.

Tukio hilo lilitokea Aprili 12, katika mechi kati ya Esteghlal FC na Aluminium Arak wakati shabiki mdogo wa kike alikwepa usalama kwa kukimbilia uwanjani na kumkumbatia Hosseini kama njia ya kuwatoroka walinzi waliokuwa wakimfukuza kwa kutovaa hijabu ya lazima. Kitendo hicho kilisababisha mtafaruku uliohusisha Hosseini na kikosi maalum.

====

Hossein Hosseini, goalkeeper for Iran's Esteghlal football club, has been called to the Football Federation's disciplinary committee to explain an incident in which he embraced a female fan.

The event occurred on April 12, in a match between Esteghlal FC and Aluminium Arak when a young female fan evaded security by running onto the field and embracing Hosseini as a means of escaping guards chasing her for not wearing the compulsory hijab. The act led to a scuffle involving Hosseini and special unit forces.

The disciplinary committee responded to the incident by suspending Hosseini for one session and imposing a fine of three billion rials (approximately $4,500).. It was deemed "unprofessional and beyond the legal duties of a player".

In a public reaction, the goalkeeper's captain made a sarcastic remark about the committee's decision, stating, "I will pay the fine, for the sake of that lady." Further complicating matters, IRNA, Iran's official news agency, reported that Hosseini might face additional penalties due to his recent public comments, suggesting that his previous suspension could now be enforced.

Legal analysts have noted that the disciplinary committee's actions appear to be in violation of existing regulations as Hosseini did not breach any specific laws during the incident, other than breaking Islamic rules about opposite sexes being in physical contact. The case has brought to light the broader issue of women's access to stadiums in Iran—a topic of significant debate and international concern for several years.

Since five years ago, FIFA has been urging Iran to allow women into football stadiums. However, the Football Federation and other governmental bodies have resisted the changes, often citing “inadequate infrastructure” as a reason for non-compliance. Despite occasional allowances for controlled entry of women into stadiums, the ongoing restrictions predominantly limit their presence, leading to sporadic participation in matches.

Iran Intl
 
Si bora huyo ameitwa kwenye kamati ya nidhamu, aliye kuwa mkuu wa shirikisho la soka la Uhisipania mpaka sasa anakabiliwa na hatari ya kwenda jera baada ya kumkumbatia mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya nchi hiyo.
 
Si bora huyo ameitwa kwenye kamati ya nidhamu, aliye kuwa mkuu wa shirikisho la soka la Uhisipania mpaka sasa anakabiliwa na hatari ya kwenda jera baada ya kumkumbatia mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya nchi hiyo.
We ngoja sasa akitoka hapo ni polisi pamoja na binti.

Kisha utasikia wote wawili sukari ilipanda tukawakimbiza hospitali kuokoa maisha yao, bahati mbaya wakafariki njiani!

Polisi ya Iran haina tofauti na polisi ya CCM.
 
Kosa #1 ni kutokimbia alipokuwa anakimbiliwa na hako kademu. Kosa #2 ni kukumbatia mwanamke hadharani. Kosa #3 ni kukumbatia asiye mke wake. Kosa #4 kuidhalilisha dini.

Akikutikana na hatia anaweza kunyongwa.
Adhabu ya kosa kama hilo ni kupigwa viboko au faini na sio kunyongwa.
 
😂😂 hii nchi ina laana, yaani wanakosa kazi za kufanya wanaanza kuwinda mtu asiyevaa hijabu??

Atleast ingekuwa katembea Nusu uchi au bila vazi kweli
kama laana ni kutaka watu wajistiri basi huyo mungu aliyekufundisha hivyo kakudanganya.
Mbona hushangai masister wakijistiri kama waislamu na wanavaa ushungi, mbona hawakai nusu uchi kama ni sawa kukaa hivyo
 
kama laana ni kutaka watu wajistiri basi huyo mungu aliyekufundisha hivyo kakudanganya.
Mbona hushangai masister wakijistiri kama waislamu na wanavaa ushungi, mbona hawakai nusu uchi kama ni sawa kukaa hivyo
Nini tafsiri ya nusu uchi maanake wengine hatuelewi.
 
Nini tafsiri ya nusu uchi maanake wengine hatuelewi.
Kuna viungo kwa mwanamke havitakiwi kuwa wazi public mfano nywele , na nguo iwe ndefu yenye kuficha mapaja na baadhi ya sehemu ya miguu yani kama uunavyoona masister kanisani ule ndio uvaaji sahihi kwa mwanamke kwemye uislamu na iran inafuata sheria za kiislamu wapo sahihi kukazia sheri zao
 
Back
Top Bottom