MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,757
- 48,660
1. Wapi umeona nikibagaza nguo za watu hata kama mimi hazinihusu?
2. Au wapi umeona nikijinasibu popote na dini yoyote Ile?
Angalizo: miye siyo mfia dini mwenzenu zenu ziwe uislamu, ukristo, ubaniani, uhindu, ubudha, upagani nk.
View attachment 2972749
BTW: Vipi vile vi drone vyetu vya watoto lini mwarusha tena?
Halafu mnakataza wanaume wasionekane kwenye magoti, mbona hawa huwa hamuwakamati
Jiulize lizee la miaka 50 kuparamia katoto, mumekaa kingono ngono sana nyie watu