Mlimani TV: Joseph Mbilinyi Mr II

ruge anaua hii sanaa aeleze hizo mil 200 za pango ya ofic ya wasanii iko wapi na studio ya wasanii kapeleka tht hata komba amedhulumiwa vyombo vya mziki na ruge haya yote yana mwisho atalipa tu ipo siku wasanii wa tht wanateseka ila wanashindwa kutoa malalamiko yao jamaa ni dikteta sana ana control sauti za busara kill music award na sasa ameingia kwenye gospel
 
Ndg. Sugu,

Haitakuwa Busara kuendeleza vita ya maneno na Clouds au Ruge, kama unataka kuwashikisha adabu pambana nao kibiashara,

Wewe ni mfano katika Jamii
 
Anasema lazima RTD iwalipe wasanii wa zamani kwa kutumia kazi zao toka enzi za zilipendwa..
RTD wameuza sana kazi za wasanii wa zamani

Inasikitisha sana!Watu kama akina marehemu Marijani Rajabu,Mbaraka Mwinshehe,Moris Nyunyusa na hata akina Zahor Ally na wengine wengi walijitoa kikwelikweli kujenga hii nchi.Wameambulia sifuri!Familia zao zimeachwa kuishi maisha kama ya ndege!Hii nchi ina dhambi sana.
 
Sugu moto chini, sugu moto chini! Kama alivyoimba" dawa ya jeuri ni Kiburi"
 
ruge anaua hii sanaa aeleze hizo mil 200 za pango ya ofic ya wasanii iko wapi na studio ya wasanii kapeleka tht hata komba amedhulumiwa vyombo vya mziki na ruge haya yote yana mwisho atalipa tu ipo siku wasanii wa tht wanateseka ila wanashindwa kutoa malalamiko yao jamaa ni dikteta sana ana control sauti za busara kill music award na sasa ameingia kwenye gospel

Safi sana brother Sugu mwendawazimu,kama mvua inayesha. Clouds Media group wananyonya wasanii wenyewe wanatajirika wanaendesha ma range rover. Mwana FA wanamtumia tuu kama big g akiisha kazi atatupwa kule. hizi issue za ubunge mbona wengi wanazipigia hesabu hata mange kimambi na mwenzie mwamy nao wanawaza ubunge. Itabidi nguvu ya umma iamue kuondoa magamba clouds. Sugu komaa nao tuu mpaka kieleweke.
 
Umeona hee na ndo watatuletea hapa TZ yale yaliyowakuta Rwanda
 
Sijaona cha maana zaidi ya muendelezo wa ugomvi wao na Ruge. Huyu jamaa sijui ni lini atajitambua kuwa ni mbunge.

usingekuja kwenye post inayomuhusu Sugu ningeshangaa sana!una bahati wengi hawakujui,ila kuna siku utaanikwa then hutoamini..na mnavyoangaika kumuhujumu ishu ya nov5 ndio mana jamaa anawatukana
 
Sijaona cha maana zaidi ya muendelezo wa ugomvi wao na Ruge. Huyu jamaa sijui ni lini atajitambua kuwa ni mbunge.

Me nilifkiri umepona kumbe walikunyima posho tu ndio ukawageuka,ok karibu tena kwenye mpambano umepewa kiasi gani kwa sasa?
 
usingekuja kwenye post inayomuhusu Sugu ningeshangaa sana!una bahati wengi hawakujui,ila kuna siku utaanikwa then hutoamini..na mnavyoangaika kumuhujumu ishu ya nov5 ndio mana jamaa anawatukana

Naona umeamua kuongea utumbo.
 
usingekuja kwenye post inayomuhusu sugu ningeshangaa sana!una bahati wengi hawakujui,ila kuna siku utaanikwa then hutoamini..na mnavyoangaika kumuhujumu ishu ya nov5 ndio mana jamaa anawatukana

ni nani huyo kaka fanya 2mjue basi..
 
Anasema sasa hivi yupo Mbeya anajenga barabara KM 25 kiwango cha lami pamoja na taa za barabarani..

Pamoja na mabwawa ya samaki

anajenga au serikali inajenga. Aache kuwadanganya wananchi. Ametoa pesa yake mfukoni.
 
Tatizo la huyu Sugu ni hayo matusi yake kwnye hizo Virus zijui ma anti virusi. Kelel zitapigwa sana hawaUgem ndio yeye akamuweka JK madarakani, kwa zile fiesta wakatiw a uchaguzi JK hawezi mfanya lolote ana mogopa kiboko RUge.
 
Sugu na Lema nani ana nafuu au ndio magari mabovu yanavutana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom