Mlimani park....!!!!

Daah tatizo sina pc iliyosimama kwa sasa. Halafu hebu shusha sniper elite 3 : Afrika, mkuu hii kitu imekaa fresh sana jaribu kuchek gameplay youtube. Humo hadi mkubwa savimbi yumo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mm game ya kwenye PC siwezagi kabsa kitu mashine lenyewe.

Alfu sinaga interest na game nyingne zaidi ya mpira ila nitafanyia kazi ushauri wako.
 
Unakula na chips? pole sana

Mwanaume wa Dar asile chips, achekwe? Akiingia shughulini goli moja tu hoiiiiiiiii, anabaki anakoroma mpaka asubuhi. baada ya miezi kadhaa anakuwa shoga. Hizi ndizo tabia za wanaume wengi wa Dar, machoni lijanadume, gizani Aunty Muddy.
 
Hebu nipatie basi,hiyo kitu mkuu, nakuahidi hutojutia maamuzi yako wala hutolalmika. I'll give ya the climax

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaume wa Dar asile chips, achekwe? Akiingia shughulini goli moja tu hoiiiiiiiii, anabaki anakoroma mpaka asubuhi. baada ya miezi kadhaa anakuwa shoga. Hizi ndizo tabia za wanaume wengi wa Dar, machoni lijanadume, gizani Aunty Muddy.

Lakini mapunga wengi hapa Dar wametokea mikoani tena wengi toka ile kanda pendwa na ni mijitu mishababi lakini vyakla vya watu wengine majina makubwa kabisa.
 
Si kweli uyasemayo....ila nakubaliana kuwa mashoga wachache wa Dar hutoka mikoani kuja huko kwa sababu huko ndiko kuna market kwa ajili yao. Wanaume wa Dar nyie matata sana, mwanamme wa mkoani akiwasifia kidogo tu mnaanza kulegeza mimacho na kujichekea hovyo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…