Mlimani CITY

Mlimani CITY

ndo maana ukapita SAM NUJOMA maana kiu si ndo anakaa huko siku hizi,
ungelala mkekani ungepita ile nyingine ile

(katikati ya mistari sijapaona biggy)

Kale ka fevareti batan ketu kwenye JF version 2 nadhani unakalipia ndo ukagonge.
 
Kale ka fevareti batan ketu kwenye JF version 2 nadhani unakalipia ndo ukagonge.

kako wapi vile?
sikaonagi nikajua kametolewa, maana hata mi sigongewi hata nikotoa mapwenti kama ya mzee wa Mbayuwayu (nasikia mnamwita 'kipeuo cha pili' aka skwea ruti)
 
kako wapi vile?
sikaonagi nikajua kametolewa, maana hata mi sigongewi hata nikotoa mapwenti kama ya mzee wa Mbayuwayu (nasikia mnamwita 'kipeuo cha pili' aka skwea ruti)

Mzee wa mbayuwayu ndo nani?
Tafadhali isije ikawa unamsema rais wangu? Ohoooo!
 
kako wapi vile?
sikaonagi nikajua kametolewa, maana hata mi sigongEwi hata nikotoa mapwenti kama ya mzee wa Mbayuwayu (nasikia mnamwita 'kipeuo cha pili' aka skwea ruti)

Kwa nini watu hawakugongei? labda point zako zimejificha ficha.
 
Kwa nini watu hawakugongei? labda point zako zimejificha ficha.

hahaaaa we Nguli wewe kwani hata wewe huzioni? umeacha KUSOMA KATIKATI YA MISTARI SIKU HIZI??

kwa vile sioni nikigongewa, tena kabatani sikaoni basi nikajua Invisible alikatoaga kwenye hii vesheni mpya!!!
 
Mzee wa mbayuwayu ndo nani?
Tafadhali isije ikawa unamsema rais wangu? Ohoooo!

kijani na njano wote wana mjua iweje wewe tu?

fanya uhamie Yanga kabisa.......unifomu isiwe tabu
 
hahaaaa we Nguli wewe kwani hata wewe huzioni? umeacha KUSOMA KATIKATI YA MISTARI SIKU HIZI??

kwa vile sioni nikigongewa, tena kabatani sikaoni basi nikajua Invisible alikatoaga kwenye hii vesheni mpya!!!

Haya mimi wa kwanza kukugonga hio thanks
 
Hile Baa ya Samaki x 2 nayo vipi iko wazi? Leo najihisi kunywa bia za buku-mbili-jero kwa moja!
 
Haya mimi wa kwanza kukugonga hio thanks

dah umenitoa nuksi mzee wa mistari,

siku hizi sioni vina wala mizani, vipi???

ngoja nikutafutie tenda TUCTA na wao angalau uwape ya kumjibu muzee ya mbayuwayu!!
 
Kwa kherini naelekea home mimi - ofisi za waelewa tunafanya kazi kwa masaa. tukutane asubuhi saa 12 ntakuwa online hii foleni ya sullivan yenu inatuboa, we unga wenyewe robo unaalika watu kibao nyumbani kwako mwee!!! kisa uonekane na wewe unaenda na wakati eeeehh, mikutano hii nchi nyingi iliikataa si TZ zoazoa tu bila hata kufikiria athari zake.

Eti na sisi tumepeleka kilimo kwanza - kipi hicho? kuna kilimo hapa TZ kupeleka kwenye forum ya dunia. tutaishia kujipanga mifoleni tu barabarani hata mitaro tumeshidwa kuzibua aibu.

I hate politics.... uongo uongo tu.
 
Malls za Mlimani City zingefungwa Serikali ingeweza kweli kuwalipa fidia wafanyabiashara wa pale kwa hasara ambayo waingeipata kwa kutofanya biashara kwa siku hizi tatu
 
Malls za Mlimani City zingefungwa Serikali ingeweza kweli kuwalipa fidia wafanyabiashara wa pale kwa hasara ambayo waingeipata kwa kutofanya biashara kwa siku hizi tatu
Sidhani hiyo gharama inaweza zidi zile wanazolipa IPTL,Dowans bila kuzalisha kitu etc kwa siku bongo tambarare kila kitu chawezekana!!
 
Sidhani hiyo gharama inaweza zidi zile wanazolipa IPTL,Dowans bila kuzalisha kitu etc kwa siku bongo tambarare kila kitu chawezekana!!

Hivi bado dowans wanalipwa?
 
Back
Top Bottom