Mlimani CITY

Mlimani CITY

nilijiuliza hilo swali asubuhi mdogo wangu aliposema anaenda huko.......sijui kama biashara inaendelea au lah!!!
 
Hivi biashara zinaendelea kama kawaida au mall ndio imefungwa kupisha mkutano wa kimataifa?

Kama wapita njia ya Sam Nujoma tumezuiliwa, hao wateja watafikaje hapo hata kama biashara hazijafungwa?
 
Wapita njia hawajazuiliwa tatizo watanzania huwa tunasikiliza matangazo halafu tunachukua maneno yaliyotuvutia tu,barabara zitakuwa zinafungwa kwa muda maalum,asubuhi wajumbe wakiwa wanaelekea mkutanoni na jion watakapokuwa wanarudi mjini kwenye hotel walizofikia,biashara pale mall zinaendelea kama kawaida mkuu.
 
Laiti ungepita njia hiyo kama nilivopita mimi nadhani ungeelewa nini maana ya maneno ya sihasa za Tanzania!
 
Njooni muishi Moshi..ama kule Kusini, raha mustarehe!
 
hiyo ndio Sullivan yenu na nyie muonje joto ya jiwe...
 
hiyo ndio Sullivan yenu na nyie muonje joto ya jiwe...

hivi ile kitu iliwatesa na foleni wa kwetu? aah mi leo mpaka saa nne ndo nimeanza safari
 
hivi ile kitu iliwatesa na foleni wa kwetu? aah mi leo mpaka saa nne ndo nimeanza safari

wacha tu wakwetu tulikumbwa na mengi...tukiisikia inakuja tena tunaenda holiday mji mzima tunawaachia mji wenyewe...
 
BHT kumbuka JACOB ZUMA yuko town be careful
 
wacha tu wakwetu tulikumbwa na mengi...tukiisikia inakuja tena tunaenda holiday mji mzima tunawaachia mji wenyewe...

hahaaaaa hiyo kali mwanakwetu
 
ulilala wapi jana kwani?- Nililala kitandani mamushka

sifanyi wala kufanyishwa kazi mimi......staki kabisa!!! - Hongera kwa kuwafanyisha wenzako kazi
Soma katikati ya mistari hapo.
Usisahau jana nimelala na kiu!
 
Soma katikati ya mistari hapo.
Usisahau jana nimelala na kiu!

ndo maana ukapita SAM NUJOMA maana kiu si ndo anakaa huko siku hizi,
ungelala mkekani ungepita ile nyingine ile

(katikati ya mistari sijapaona biggy)
 
Back
Top Bottom