C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Aug 16, 2014 #1 Jamani mbona mlima wa mto wa Gertrude Rwakatare haukuwaunguza waliobomoa nyumba zake nne juzi mbezi beachi. Nguvu za upako hazikuwazuia wasizibomoe. Duniani kuna mambo!
Jamani mbona mlima wa mto wa Gertrude Rwakatare haukuwaunguza waliobomoa nyumba zake nne juzi mbezi beachi. Nguvu za upako hazikuwazuia wasizibomoe. Duniani kuna mambo!
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,084 Aug 18, 2014 #2 Walivaa vifaa vya kuzuia moto usiwaunguze fire proof jackets
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,739 Aug 18, 2014 #3 Hayo ni majina tu hata huyo Mungu wangekuwa wanamjua wasingedhulumu.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,084 Aug 18, 2014 #4 Mamndenyi said: Hayo ni majina tu hata huyo Mungu wangekuwa wanamjua wasingedhulumu. Click to expand... Siku hizi wanaoongoza kudhulumu na kufanya mambo mabaya ni viongozi wa dini
Mamndenyi said: Hayo ni majina tu hata huyo Mungu wangekuwa wanamjua wasingedhulumu. Click to expand... Siku hizi wanaoongoza kudhulumu na kufanya mambo mabaya ni viongozi wa dini