Mlikuwa wapi kuwaunga mkono Zitto na Kafulila?

Mlikuwa wapi kuwaunga mkono Zitto na Kafulila?

Wewe ni mpuuzi kweli. Ulitaka wawabebe migongoni ndio ujue kuwa wameungwa mkono? Hii tabia ya kukurupuka toka usingizini na kupost vitu visivyo na msingi ikome mara moja. Unajitoa ufahamu sio?

Unadhani kakurupuka toka usingizini? La hasha hapo ndio mwisho wa akili yake. Hafuatilii mambo yupo kiushabiki tuu na ni kutoka katika kile chama chenye watu wenye akili za samaki ( quote; Aman Karume -Dodoma)

Huu muziki umechezwa vyema sana wabunge wa upinzani kwa umoja wao na hata serikali imeona kuwa hili suala la UKAWA wasipoliangalia ni umoja unaoweza kufanya yaliyofanyika Kenya dhidi ya KANU.
 
bikira wa Kimasai
Watu wenye uwezo mdogo kama wewe akili zenu mnakaa kujadili watu. Yes, Kafulila aliliibua na Zitto amechangia kulishughulikia kwa nafasi yake. Hapa jambo la msingi ni kwamba wananchi woote tushikamane na wale wanaotaka kulivalia njuga hili ili mwisho wa siku liishe na maisha yaendelee.

Sifa za kijinga kama hizi eti walisubiriwa waonesha failure ni ufinyu mdogo. Mbona Zitto alilianzisha la mabilioni ya Uswiss amelifikisha wapi? Kama binadamu Zitto ana mengi mazuri na mapungufi yake anayo, mambo mazuri anayoyafanya hayaondoi ubinadamu wake.

Ndiyo maana aliwahi kusema washabiki ndiyo wamemgombanisha na Mbowe ni kama huu upuuzi uliouleta hapa. Zitto na Kafulila wanatimiza wajibu wao kama watanzania, tuwaunge mkono
 
Last edited by a moderator:
Kafulila aliweka wazi kwenye kipindi cha ITV kua documents zote alimkabidhi Mbatia, Dr Slaa pamoja na Mnyika but ajabu wote hao hawakunyesha nia ya kupambana juu ya hili. Huwezi kumlazimisha mtu kusema juu ya hili ILA Taarifa sahihi walikua nazo.
 
Kafulila aliweka wazi kwenye kipindi cha ITV kua documents zote alimkabidhi Mbatia, Dr Slaa pamoja na Mnyika but ajabu wote hao hawakunyesha nia ya kupambana juu ya hili. Huwezi kumlazimisha mtu kusema juu ya hili ILA Taarifa sahihi walikua nazo.

Sawa kabisa hata mimi siku ya dk 45 nilisikia akisema hivyo, ila mada hapa ni mleta uzi kutaka kuleta fitina na uchonganishi kwa wapinzani. Hebu niambie siku ile Kafulila alisema ni yeye na Zitto waliolisimamia hili suala tu? Wakati mwingine inatokea kukosa support kwa ajili ya kulazimisha kujifanya fulani ndio anafunga bila yeye timu haishindi, hivi ni kweli timu nzuri ni yenye wafungaji wazuri tu bila ushirikiano wa timu nzima kuanzia kipa, mabeki na viungo?
 
Naona unajitahidi kuonesha umiliki wa scandle ya escrow account kuwa ni wa Zitto. Pole,Hukuona mjadala wa Bunge la Bajeti ambapo ndo Kafulila alilivalia suala hili njuga, Kambi ya Upinzani ktka bajet mbadala za Wizara ya Fedha na Wizara ya Nishati na Madini, suala hili lilishikiwa bango na wabunge wengi wa upinzani, waliolazimisha suala hili liende cag na pccb ni kambi ya upinzani waki- backup Kafulila, Zitto analiongelea sana kwa mamlaka kama Mwenyekiti wa pac ambao ndio watakaosoma ripoti hiyo,

Support kafulila kutoka kwa Viongozi wa kambi yake haupimiki, naomba umuulize yeye kafulila, kwa hiyo unachojaribu kukifanya, nakushauri rudi katafakari upya! Na unapoamua kuwa Muongi fanyia Uongo wako utafiti wa kutosha, na Muongo anapaswa kuwa na kumbukumbu. Na kwa watu wenye akili kama zako wanahitaji deliverence,Kick unazowatafutia watu hazina tija.Acha kazi wanazofanya kwa manufaa ya Taifa ziwe Appreciated na wananchi wenyewe kwani wataziona!

MKUU kuna wa TZ ni pasua kichwa kweli wao jambo linapotokea huwa wapo kimya kelele zikisha kuwa nyingi ndio wanakuja kujitokeza akiona wa mwisho kuliongelea jambo ndio anajua kalianzisha ukimwambia hili suala kwa mara ya kwanza liliandikwa na gazeti la CITIZEN atakubishia mpaka kukuche
 
watu wa JF wengi ni wanafiki kweli,wakati Zitto na Kafulila wanaendelea na suala hili,wengi hasa Pro CHADEMA walikuwa wanamnanga kweli Zitto,mara anafanya haya ili kujisafisha na maneno meengi lakini leo hii kila mmoja hata wale wanfiki nao wanajidai kuishupalia hii isshu.Shame on them
 
Zitto amewafanya ,anawafanya na ataendelea kuwafanya wanachama wengi wa CDM wapumbavu.

Zitto ana uwezo yule ..tena saana .. sijawahi kumuundermine Zitto ..

Kwanza tumshkuru saana ,mpaka leo nguvu waliyonayo upinzani /hususani vijana Genesis yake ilianza kwa Zitto Kabwe.
nasahau au kujitoa ufahamu kuwa ni CDM iliyowapika na kuwajengea uwezo hawa vijana, zitto na kafulila kabla ya ninyi CCM kuwaroga ili watukane wazazi wao. Sasa kafulila kajua wapi kateleza na zzk anajutia makosa. Acha maneno kwani Chama linatisha,mkisikia CDM matumbo yanavurugika. Wakati vijana wakichapa kazi ndani ya bunge, baba yao yupo nje na chopa,...twanga kotekote hadi CCM itokomee kama baathi ya Saddam Hussein.
 
bikira wa Kimasai

Hauna akili kabisa, ulitaka Mbowe avue nguo na kujikata kata na viwembe ndo ujue kwamba aliunga mkono hoja ya Kafulila?
Kwa I hajui mbowe Ana ufunguo aw kufikiri kazi kuufwata mkumbo na upepo hapa ndio unajua umuhimu aw shale kila mahali pawatu makini
 
Last edited by a moderator:
ungeuliza hawa wabunge wanafiki wa ccm walikuwa wapi ndo ungepata jibu mazuri
 
Tulimtetea saaana ZZK enzi za sakata lake wakasema IQ zetu ndogo.
Leo wanavyo mpenda zittoooo
wanavyo mchambuaaaaaaaaa
wanamuelezea kiasi kwamba wengine hatumjui vileeee
sema nini....
endeleeni kuwa mashabiki upepo wa DJ zero
 
hamad rashid alishirikiana na dr slaa katika issue ya rechmond walikutana na vikwazo sana mwanzon mwisho karibu wabunge wote ccm wakalivalianjuga mwanzo mwisho hivyo acha kelele
 
hamad rashid alishirikiana na dr slaa katika issue ya rechmond walikutana na vikwazo sana mwanzon mwisho karibu wabunge wote ccm wakalivalianjuga mwanzo mwisho hivyo acha kelele

Acha uongo kipindi ambacho sakata la Richmond linaendelea Dr Slaa alikuwa amekimbia Dodoma baada ya kufumaniwa hotel 56
 
Back
Top Bottom