Nafikiri tatizo lake ni jinsi lilivyokuwa likiandikwa kwenye magazeti kama vita ya Mbunge binafsi. Bahati mbaya pia kuwa kuna wanaotaka kuonekana binafsi katika jambo wanaofikiri lina faida ya kisiasa - yaani kuna watu ambao hata siku moja siyo team player.bikira wa Kimasai
wewe hata bunge la BAJETI ukuangalia ungekuwa ulifatilia usingeandika haya, hata msemaji wa kambi ya upinzani aliliongelea hili suala WENJE alisema hii skendo ni kubwa kuliko EPA halima mdee wabunge wengi wa cuf MBATIA na wengne wengi tu waliliongelea kwa msisitizo mkubwa kabla ya kuandika fanya utafiti