Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,078
- Thread starter
-
- #21
Dah! nakumbuka Tabora! Enzi nacheza kama centre forward , kwenye kombe la kuku, na udhamini wa kupata tango kutoka kwa diwani Lugembe Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
mpira wa sembo![/QUO mpira wa sembu
Mi nilikuwa mkali wa kuendesha ma bearing kwenye mteremko wa Mwanshinga
Mi nilikuwa mkali wa kuendesha ma bearing kwenye mteremko wa Mwanshinga
umenikumbusha ma BERINGI Isanga stendi ya Chunya early 80s
Sodo hilo.[/QUOTE
Taratibu usitembelee mikoa ya pwani hasa visiwani ukatamka hilo neno ,wakinamama watakukimbiza!
Yaelekea thread inawahusu watu wa nyanda za juu kusini.Thread imehama kutoka kwenye kinyengo hadi kwenye maberingi