Mlevi na rafiki yake

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,301
Mlevi anarudi na rafiki yake mgeni nyumbani kwake na kuanza kumuelekeza hii ni nyumba yangu na lile ni gari langu,wakaingia ndani wanalikuta njemba limelala na mke wa mlevi bila wasiwasi mlevi anaendelea kuelekeza kile ni kitanda changu, yule ni mke wangu na yule aliyelala naye ni MIMI
 
teh teh teh aiseee hiii ni kalii mzee daah inamaana jamaa hata hajijui kua ni yeye..!
 
dah...! kwa mtaji huo siongexzi tena moja for the load kha? yan jamaa hajijui kweli hii kali
 
Back
Top Bottom