Mlevi mbwa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlevi mbwa....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kamtu33, Sep 13, 2012.

 1. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 973
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Kuna mlevi mmoja akiwa amelewa chakali alirudi nyumbani kwakw usiku na akawa anataka kufanya mapenzi na mke wake sasa katika harakati zikiendelea mme akamuuliza mkewe mbona leo maziwa yako yamekua makubwa na chuchu hazionekani? mke akajibu kwa ukali "mlevi wee unanyonya mat..k..o.
   
 2. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Ulevi ni nomaaaa...............!
   
 3. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,431
  Likes Received: 575
  Trophy Points: 280
  Teh teh,mwingine alikua kweny sinema na demu wake,mara akapitiwa na usingizi akasinzia,baada ya muda fulani akastuka toka usingizini na kuropoka "**** yangu"watu wakamgeukia,akasema tena "jamani aliyekata **** yangu anirudishie".Mara demu wake akamjibu"we acha ufala si umeweka mkono wako kwenye chupi yangu(chumvini)"
   
 4. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,182
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Lazima utakuwa unamradi wa kufuga bundi unapoishi, manake ka sivyo basi ruzuku inaliwa bure tu mirembe
   
 5. KML

  KML JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kuna watu ufalme wa mbinguni utawapitia mbali sana aisee kwa michezo hii
   
 6. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mlokole anapoingia kwenye section ya jokes jf.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  utashangaa ukifika mbinguni hawa ndo wanaambiwa wasikupe kiti manake umeingia kusiko, na mie nakutoa hadi mlangoni uende zako motoni. Chezea mbinguni wewe!
   
 8. molely molly

  molely molly JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 317
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kweli achezea mbingu eeh!
   
 9. Mfarisayomtata

  Mfarisayomtata JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 419
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  dah, hiyo ya sinema noma.
   
Loading...