duh anakuja akiwa na mawazo kuwa atapata laki moja moja na sio hizo za kwenu
Kuna watu wana dharau sana aise yaani unampa msaada halafu anauangalia mara mbili mbili yaani kusema kuwa haumtoshi na hakupangilia kukpata kiasi hicho kutoka kwako as if anajua mfukoni kwako kuna nini au umejipangaje aise
Pole sana marejesho hao ndio waomba msaada
Asante Mr Rocky . Kwa kweli huyu jamaa (MLEMAVU MSOMI) amenihuzunisha sana.. Ameniweka katika wakati mgumu,kiasi kwamba hata wengine wakija wale wanaohitaji msaada wa kweli itakuwa ni vigumu kuwasaidia .......
Mie siwapagi,kuna jamaa mmoja alikuwaga anakuja pale UDSM,kila mwaka anaomba fedha za kumchangia nauli,first year nilimchangia...nikashangaa wakati niko 2nd year akarudi na sound zilezile......NILINAWA MIKONO........!!
Labda nimkute church na kiongozi atuhamasishe la sivyo..kalaghabaho
Urudi kufanya nini? Ishia hukohuko mwalimu msomi.Wifi,
Kwanza Poleni sana.
Na ndio maana siku hzi wanakosa uaminifu.
Nitarudi....
na wewe umezidi ubahili. Utampaje mlemavu kaelfu kumi kako? Hizo ni bia ngapi?Hili ni Janga la Kijamii..
Wifi,
Kwanza Poleni sana.
Na ndio maana siku hzi wanakosa uaminifu.
Nitarudi....
na wewe umezidi ubahili. Utampaje mlemavu kaelfu kumi kako? Hizo ni bia ngapi?
Unaona ungempa laki angefaiiiiidi au?
Bahili Msomi.
Asante wifi yangu.. Kweli Uaminifu ni zero....