Mambo yote Youtube boss!.Swali hapa ni je?humu ndani kwenye float switch hivi kuna kitu gani kinafanya hayo mawasiliano hayo mawasiliano wakati umeme na maji havielewani.
Mambo yote Youtube boss!.
au hii
Shikamoo wazunguOperation ya float switch ni simple, nechanism yake ni contact and open. Boya linaunganishwa kwenye stick na kisha hiyo stick inaunganishwa na contactor ya switch. Operation yake ni kwamba, maji yakipungua, boya linashuka chini na hapo switch inafunga na umeme unaflow (pump inajiwasha), maji yanajaa kwenye tank. Maji yakishafikia level fulani (maji kujaa), boya linasukuma stick juu (kumbuka wakati maji yanajaa, boya linapanda juu) na stick inasukuma contactor na hivyo kufungua switch (switch open), na umeme unakata na pump inasimama. Hiyo ndio operation yake.
Float switch ni switch inayotumia umeme inayofungwa ndani ya tank la maji ili kuzima na kuwasha pump pale maji yanapopungua ndani ya tank.
Yaani ufanyaji wake wa kazi ni kuwa maji yakijaa kwenye tank inalala flat inarudisha umeme/ moto kwenye control box na kufanya control box izime pump,na maji kwenye tank yakipungua kadri yanashuka kuisha kwenye tank inaning'inia na hapo hapo ikoning'inia inaruhusu umeme kuwasha pump na kujaza tena maji.
Swali hapa ni je?humu ndani kwenye float switch hivi kuna kitu gani kinafanya hayo mawasiliano hayo mawasiliano wakati umeme na maji havielewani.
Hiyo inategemea na unakofunga sana sana inafungwa kisima cha chiniMkuu, zipo float switch za aina nyingi lakini zinazitumika sana na hizi za aina mbili, moja ni kama hiyo ambayo member mmoja kaleta video yake ambapo ndani yake kuna gololi ya chuma inayofanya contact pindi boya linaponyanyuka au kushuka, aina nyingine ni zile switch ambamo wameweka Mercury badala ya gololi, kama tujuavyo mercury inapitisha umeme hivyo yenyewe hufanya kiunganishi pale inapochirizika kwenye contact na kufanya kiunganishi (complete circuit) wakati switch inapobinuka au kushuka kulingana na matumizi husika ya ON au OFF.
Kuna zenye mercury ndani. Badala ya kuwa na ball inayosukuma contacts, mercury ndo inamove kutegemeana na position kuunganisha contact mbiliShida yangu ilikuwa nijue ndani mle kukoje hivyo vingine navielewa