Mlango bila Ufunguo (smart lock)

Mlango bila Ufunguo (smart lock)

Tokyo40

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
2,065
Reaction score
1,926
Kampuni ya Kichina inayoitwa Ola Locks, inauza loki za mlango zinazotumia alama ya kidole gumba badala ya ufunguo.

Loki inakuja na Ola App. Unarekodi alama za vidole za watu unaotaka wapewe ruhusa kuingia. Baada ya hapo, ni kugusa tu, kufunga na kufungua kwa wahusika.

Ukiamini usalama wake, bei ni $179, itauzwa kuanzia Mei 2016.

ImageUploadedByJamiiForums1434984352.147384.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1434984372.563904.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1434984394.063619.jpg

dailymail.co.uk
 
Kampuni ya Kichina inayoitwa Ola Locks, inauza loki za mlango zinazotumia alama ya kidole gumba badala ya ufunguo.

Loki inakuja na Ola App. Unarekodi alama za vidole za watu unaotaka wapewe ruhusa kuingia. Baada ya hapo, ni kugusa tu, kufunga na kufungua kwa wahusika.

Ukiamini usalama wake, bei ni $179, itauzwa kuanzia Mei 2016.

View attachment 262611

View attachment 262612

View attachment 262613

dailymail.co.uk

Mkuu kitasa hicho kiko kielectronic au kinajitegemea chenyewe?
 
Kinatumia AAA battery 4, na nyingine ni stand-by kwa usalama).
Kubadili kila miaka miwili au ufunguaji mara 30,000.
 
hawa wala mbwa wanakuja juu umelicheck lile jingo lenye ghorofa 57 lililojengwa ndani ya siku 19 tuu duu ni amazing kweli
 
Mtu akitaka kuingia bila ruhusa anakukata kidole anaingia
 
Exactly. Lakini wezi mara nyingi wanaingia kwa mlango wa dirisha au wanakufuata nyuma.

Pia, hacking issue ipo. Wanaweza kuingia kwenye App yako na kuchukua ruhusa.
 
Basi haina maana
 
Back
Top Bottom