nziriye
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 1,050
- 365
Huwa nawaza na kuwazua kuhusu our president,huwa napata maswali yasiyo na majibu khusu huyu jamaa yangu aliyepita uraisi kwa asilimia 61% hivi ni mtawala au kiongozi?huwa nawaza na nakuwa ktk ya pori kubwa sijui pa kuelekea mtawala ni nani na kiongozi ni yupi?je inawezekana ndugu huyu mwenye doctorate bila masters akawa hayupo ktk ukiongozi pia hayupo katika utawala i mean hajielewi elewi,please and please wa thinkers ningependa jua kiongozi ni nani na mtawala ni nani?