Mkwawa Tobacco Leaf lipeni hela za Wakulima wa tumbaku

Hossam

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
3,538
2,155
Hii kampuni kwakweli inaumiza sana wakulima wa tumbaku. Tangu April mwaka huu ni porojo tu, hawajalipa wakulima waliouza tumbaku yao.

Wakulima kwa mfano Urambo huko Tabora wako hoi sana kifedha. Yaani sasa hivi hawana cha kushika. Wanakopa fedha na wanalipa riba 100% kwa sababu hii kampuni haijalipa fedha za mauzo.

Kinachofanyika Mkwawa Tobacco Leaf ni unyama wa hali ya juu na hasa sio ustaarabu.

Lipeni hela za watu.

Pangu Pakavu
 
wabongo hawajawahi kuwa serious na biashara. walipata ela za kumlipa Diamond na Steve Nyerere kwenda kuwapigia promo, na helicopter juu, plus waziri Bashe naye akaenda. Nyuma ya pazia kumbe wana lao jambo. Bashe waga yupo makini sana kuingizwa mkenge, sijui hapa ni vipi alishindwa soma alama za nyakati.

arudishiwe mzungu kiwanda cha Tumbaku Moro, maisha yaendelee.
 
Wakulima wako hoi sana kifedha
 
Mzungu amezuiliwa kuja kwasababu ya huyu Mwarabu wa Mkwawa?
 
Kiwanda sasa kapewa Mwarabu baada ya Mzungu kuzinguana na serikali wakati wa Magu. Mzungu hakuwa na longolongo kwenye malipo, pia alinunua kwa bei nzuri. Wafanyakazi walilipwa vizuri kupita kiasi.
Shida ilikuwa nini mpaka mzungu akatimka?
 
Back
Top Bottom