Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,331
- 4,233
Sinaga maneno mengi ukinichokoza na kunifuatafuata na maneno Wala siongeagi na kujibizana Sana.
Nikiona tu unaendelea basi nanyofoa paketi ya nyembe nacet ama topaz mfukoni na kuzirusha mdomoni moja baada ya nyingine kama Karanga na kuzitafuna mbele yako.
Nikishazitafuna na kuzimeza huyo naondoka zangu kimyaa.
Heshima ya kudumu inakuwepo.