Mkwara wa Urusi waiacha marekani hoi!

Mkwara wa Urusi waiacha marekani hoi!

Kuna afisa mmoja wa Jeshi la urusi alikaririwa akisema....the more sophiscated your systems are, the simplest it becomes to jamm and disable them....
 
Hakuna mkwara hapo, kama ni mkwara basi hata Tanzania ingeweza tu kupiga huo mkwara unafikiri nini kingetokea?
Hiyo tech Urusi anayo na anaonekana kuwa vizuri zaidi, wengine tulishaeleza sana huku kuwa hakuna vita hapo sababu Marekani anaonekana kushindwa kabla hata hajaanza upuuzi wake alotaka kufanya.
ze kokuyo
 
Hapa naona snowden anahusika kuwaharibia wamarekani wenzake.
 
Mkwala wa urusi ambao Marekani ameshindwa hata kuusemea wala kuujibu ni mzito usipime!
Kamwambia kitu cha kileo ni "electronic bomb" na ana uwezo wa ku-jam meli zake zote, ndege na missile system mpaka satellites zikabaki kama zezeta tu!
Hakuishia hapo akamwambia ili meli yake kubwa kabisa "destroyer" keshaifanyizia tayari miaka mingi iliyopita ni kiasi cha ku-activate tu jamming button kisha inapiga usingizi wa pono!
Mdokezo huu hapa:
Russia claims it can wipe out entire US Navy with a single ‘electronic bomb’.
Haijawahi kutokea marekani kuchimbwa mkwala halafu ikakaa kimya kama haijasikia vile!!!
Ahaaa ! kumbe ndomaana kasepa !!
 
Mkuu sio kila kitu US anacho. US ana vitu vingi, ana tech kubwa na ndio maana aliweza kuhack mawasiliano ya maraisi wa nchi nyingi zilizoendelea, lakini alishindwa kuhack mawasiliano ya Putin.
Kuna nyanja nyingi ambazo US yupo superior kwa Russia, lakini kuna nyanja nyingi pia ambazo US ni mchumba tu kwa Russia, jamming technology being one of them maana alishawahi ku jam mawasiliano ya boti za Marekani miezi kadhaa iliyopita.

Sio kila kitu Marekani anacho mkuu, technology haipo Marekani pekee.
Hesabu na fizikia watazipendaje mashoga?
 
Kama aliweza kwenye Uchaguzi
Ikawa vuta ni kuvute wao kwa wao
hahaha
Vimeli vyao vimepiga bonge la kona Tena kwenye speed ya 130k/h hahaha

Kinacho shangaza kidogo, sijawahi kuona member yeyote anahoji kuhusu kilicho sibu makombora 36 aina ya Tomahawk - nini kilitokea kwenye navigation systems zake mpaka yakashidwa kufika kwenye designated target!! Weledi wanasema wangeweza ku-intercept cruise missiles zote lakini waliachia nyingine zi go through ili Trump na washauri wake wa kijeshi wasiabike. Kama unafikiri hii ni conspiracy theory nyingine - think again.
 
Ila ninachoshukuru ni kuwa mkwala wa urusi umetuepushia vita kuu ya tatu ya dunia! Trump alikuwa keshaamua kutwanga! Dogo akavimba, Urusi akamaliza mchezo kwa nusu mkwala tu!
Hata mm kwa hili Nam support na kumkubali RUSSIA kwa Maana ameepusha jambk Kubwa Sana kwa dunia nzima,maana kulikokuwa kunaendelea siko kabisa. Lakini Russia nae aache kuingilia vita vya watu wengine huko Syria.
 
Hii teknolojia hata u.s wanayo, israel walikuwa wanaitafiti na wao miaka michache nyuma huenda sasa wanaimiliki ila kinachoonekana ni kwamba inamuwezesha adui kuzimikiwa mitambo yote ya kidigitali ambayo imo kwenye mabomu, ndege n.k kwahiyo u.s hataweza kurusha bomu zake ila na yeye akiamua kuzima vya mrusi pia analo hilo e-bomb, sasa hapo vita itakuwa imehama kwenye moto wa mabomu itabidi irudi ardhini wapigane infantry, na hata wao hawataweza bila kuwa na mawasiliano ya kisasa waliyozoea kwa hiyo hapo hakuna mjanja tena!

Ndiyo maana yake, unapoteza ma trillion kuhunda mameli, ndege, makombora lakini wenzako waliotulizana akili wanakuja na jibu rahisi sana ya kufanya silaha zako zote zinazo tegemea mfumo wa ki-electronic kushindwa kufanya kazi kwa muda au kuziharibu kabisa mpaka unalazimka kufanya wiring upya - hii si mchezo hata kidogo, Warusi ni wasiri sana ukiona Wanatangaza adharani ujuwe wanajiamini kwamba wenzao mpaka waje kuwafikia watachukua miaka mingi au hawataweza kabisa - labda nikumbushie Tzar Labomba huu mwaka wa ngapi?
 
Hii teknolojia hata u.s wanayo, israel walikuwa wanaitafiti na wao miaka michache nyuma huenda sasa wanaimiliki ila kinachoonekana ni kwamba inamuwezesha adui kuzimikiwa mitambo yote ya kidigitali ambayo imo kwenye mabomu, ndege n.k kwahiyo u.s hataweza kurusha bomu zake ila na yeye akiamua kuzima vya mrusi pia analo hilo e-bomb, sasa hapo vita itakuwa imehama kwenye moto wa mabomu itabidi irudi ardhini wapigane infantry, na hata wao hawataweza bila kuwa na mawasiliano ya kisasa waliyozoea kwa hiyo hapo hakuna mjanja tena!
Na mmarekani sio mzuri sana kwenye infantry kama Russia, hapo lazima aweweseke kidogo! Kwenye muungano na wa AirForce yake pamoja na Navy kumshinda mmarekani ni ndoto, ila kwenye vita ya ardhini/Infantry anaweza kupigwa vibaya sana
 
Urusi alitakiwa amtwange USA na ikiwezekana liwe koloni lake

Hana shida hiyo, kwanza Eneo la Ursi linakaribia robo ya Dunia atakuwa na haja gani ya kujiongezea aridhi - we sema tu kwamba USA ijifunze kuheshimu Mataifa mengine na kushirikiano nayo kwa ustawi wa binadamu wote Duniani siyo wanakalia kuwaza waza vita miaka nenda rudi.
 
Hata mm kwa hili Nam support na kumkubali RUSSIA kwa Maana ameepusha jambk Kubwa Sana kwa dunia nzima,maana kulikokuwa kunaendelea siko kabisa. Lakini Russia nae aache kuingilia vita vya watu wengine huko Syria.
Mrusi analinda maslahi yake ya kijeshi huko Syria! Ana meli zake kwenye pwani ya Syria katika bahari ya mediteranean ili kubalance zile za marekani!
 
Mnachoongea hamkijui kabisa, utafikiri mazezeta furani.
 
Hii teknolojia hata u.s wanayo, israel walikuwa wanaitafiti na wao miaka michache nyuma huenda sasa wanaimiliki ila kinachoonekana ni kwamba inamuwezesha adui kuzimikiwa mitambo yote ya kidigitali ambayo imo kwenye mabomu, ndege n.k kwahiyo u.s hataweza kurusha bomu zake ila na yeye akiamua kuzima vya mrusi pia analo hilo e-bomb, sasa hapo vita itakuwa imehama kwenye moto wa mabomu itabidi irudi ardhini wapigane infantry, na hata wao hawataweza bila kuwa na mawasiliano ya kisasa waliyozoea kwa hiyo hapo hakuna mjanja tena!
safi umejibu vizur
 
9225431fee138e28b18c109d7fff5fa7.jpg
4cd5b845ecdfe09c1551d6a31db4356f.jpg
63fac30c21ede53e6d124c079971a187.jpg
535aa58709054ebe691993b34a570949.jpg
3f84f5e9fd2c22971ca148281f42764a.jpg
8e64e3caeddc48598bfbf5b6484afa2d.jpg
a51f4722dde2a3d6f2c2a45299142938.jpg
987905e5082381d1b61c182840a1ec25.jpg
haya Sasa nime screen shots chatting Za wa US wenyewe kwA wale Russians -Tz and US-Tz mnasemaje au ninyi ndo mnaijua US au Russia kuliko...NB Povu na mahaba vinaruhusiwa.
 
KwA mujibu wa US ni kuwa Putin na Iran wanaungana kufanya propaganda lkn US yuko mbali nao yeye nasubir shit Yoyote atayemgusa... Since US kukupig huwa anataft sababu Ref 9/11. CIA walifanya Kazi USSR na afghan zikawa hoi.


Hata Saudia huwa analalamika kuhusu propaganda zinazo fanywa na radio Iran kutengeneza video kuwa eti saudia anachinja watu wake... Na watu watu wanaingia mkenge kuamin.... Kuna sheikh kwenye thread fulani alieleza kuhusu Iran propaganda to Sauds Ili ionekane Saud ni mbaya... So Naona Putin na Iran wanaingiza watu mkenge kwA YouTube fake simulated video.... US anajua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom