mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,873
- 18,433
Mkwala wa urusi ambao Marekani ameshindwa hata kuusemea wala kuujibu ni mzito usipime!
Kamwambia kitu cha kileo ni "electronic bomb" na ana uwezo wa ku-jam meli zake zote, ndege na missile system mpaka satellites zikabaki kama zezeta tu!
Hakuishia hapo akamwambia ili meli yake kubwa kabisa "destroyer" keshaifanyizia tayari miaka mingi iliyopita ni kiasi cha ku-activate tu jamming button kisha inapiga usingizi wa pono!
Mdokezo huu hapa:
Russia claims it can wipe out entire US Navy with a single ‘electronic bomb’.
Haijawahi kutokea marekani kuchimbwa mkwala halafu ikakaa kimya kama haijasikia vile!!!