Hata kimya ni jibuNgoja tusubiri atasema nn hyu mmarekani kubwa lao
Vita ya tano itakuwa ya kick boxingVita ya nne itakuwa ya ngumi (Boxing )
Well said mkuuvita ya tatu ya dunia itakua ya mawe na fimbo........
na wakirudi ardhini nipo watakuja kuchukua majeshi ya africaHii teknolojia hata u.s wanayo, israel walikuwa wanaitafiti na wao miaka michache nyuma huenda sasa wanaimiliki ila kinachoonekana ni kwamba inamuwezesha adui kuzimikiwa mitambo yote ya kidigitali ambayo imo kwenye mabomu, ndege n.k kwahiyo u.s hataweza kurusha bomu zake ila na yeye akiamua kuzima vya mrusi pia analo hilo e-bomb, sasa hapo vita itakuwa imehama kwenye moto wa mabomu itabidi irudi ardhini wapigane infantry, na hata wao hawataweza bila kuwa na mawasiliano ya kisasa waliyozoea kwa hiyo hapo hakuna mjanja tena!
Asee, unatishavita ya tatu ya dunia itakua ya mawe na fimbo........
Hana jeuri hyoUrusi alitakiwa amtwange USA na ikiwezekana liwe koloni lake
mkuu mbona wewe inajipendekeza kwa Russia na hakuna mtu anakuanda?Wewe ndio msemaji wao? Acha kujipendekeza kiasi hicho
Hakuna sehemu niliyo jipendekeza mkuumkuu mbona wewe inajipendekeza kwa Russia na hakuna mtu anakuanda?