mkwara wa UDA

check mkakati wa uda!!!!watatoka na mabasi kama ifuatavyo!

  • mabasi maalumu ya kubeba wanafunzi

  • kutakuwa na mabasi maalumu ya kubeba wanawake pekee yatakayojulikana kwa jina la ‘Malaika’ eti lengo ni kuwaepusha wanawake na vikumbo vya wanaume!!

  • mabasi ya daraja maalum ambayo yatatoa huduma kwa watu wasiotaka kutumia usafiri wa umma ambayo yatakuwa na kiyoyozi, huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusoma magazeti, vinywaji baridi

  • mabasi mengine maalumu kwa ajili ya kukodisha kwa taasisi mbalimbali za umma na binafsi ambazo zinataka kubana matumizi ya usafiri kwa wafanyakazi

...............mbwembwe zote hizo kwa hela ya wenyewe !? (mkopo !)
 
jamani hawa UDA wana tutaka nini wanaume!!!nimwache wife apande gari mi niendelee kusubiri!!usalama wake huko anakoenda itakuwaje!!!![/QUOTE]

Hahahahaha! Tunafungia CCTV kwenye mabasi ya akina mama; wanumme wote wenye wake wasafirio humo wanakuwa linked kupitia simu zao kuona yote yanayojiri katika bus.....
 
aaaah!!kwa staili hiyo mtanipata!
 
  • mabasi ya daraja maalum ambayo yatatoa huduma kwa watu wasiotaka kutumia usafiri wa umma ambayo yatakuwa na kiyoyozi, huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusoma magazeti, vinywaji baridi
kwa maana hiyo sijui kutakuwa na ma bar maid humo humo!!
 
ajisemea fid Q hizi ni propaganda tuu hamna chochote tanzania tunaanzaga kwa mbwembwe mwishon yaleyale tuu
 
check mkakati wa uda!!!!watatoka na mabasi kama ifuatavyo!

  • mabasi maalumu ya kubeba wanafunzi

  • kutakuwa na mabasi maalumu ya kubeba wanawake pekee yatakayojulikana kwa jina la ‘Malaika’ eti lengo ni kuwaepusha wanawake na vikumbo vya wanaume!!

  • mabasi ya daraja maalum ambayo yatatoa huduma kwa watu wasiotaka kutumia usafiri wa umma ambayo yatakuwa na kiyoyozi, huduma mbalimbali ikiwa ni pamoja na kusoma magazeti, vinywaji baridi

  • mabasi mengine maalumu kwa ajili ya kukodisha kwa taasisi mbalimbali za umma na binafsi ambazo zinataka kubana matumizi ya usafiri kwa wafanyakazi

mpaka hapo hakuna mabasi kwa ajili ya wanaume na wavulana kama ndio hivyo...
 
Haya madaraja kati ya wenye nacho na wasio navyo yanazidi kuwa justfied hivi hivi. ok yetu macho tu. Shule zao hospitali pia wana za kwao! Ambulance vivyo hivyo. Sasa wamekuja na hili nalo kuna siku watatengeneza Noti zao wenyewe wakudai kuwa hizi za sasa zinawaletea kikohozi . pambafu kabisa kuna siku nitanunua Guta niendeee job.!!!!!!
 
Vibabu je?
Maana kuna wanawake wana ubavu, nishawahi kupata kichapo cha mbwa koko kutoka kwa mwanamke nilipookuwa form 2. Sisahau hili.
Wanawake wana ubavu. Hao jamaa wana lao.
 
Watz tunavyopenda matukio tushasahau UFISADI wa namna UDA iliuzwa kimagumashi....

Hakuna anayeuliza ile ripoti CAG iko wapi.....
 
Wabongo kwa mbwembwe hatujambo,kuanzia wananchi mpaka mashirika ya umma ni mbwembwe tu kwa kwenda mbele!
 
Vibabu je?
Maana kuna wanawake wana ubavu, nishawahi kupata kichapo cha mbwa koko kutoka kwa mwanamke nilipookuwa form 2. Sisahau hili.
Wanawake wana ubavu. Hao jamaa wana lao.

mi nadhani wangekuwa wanatutakia mema tulio oa,wangetuwekea gari la wana ndoa ili tupande na wake/waume zetu!
 
Huyu fisadi Kisena si alishirikiana na mafisadi akina Idd Simba na Didace Masaburi kuiba uda? Asijitietie aeleze ufisadi wake badala ya kujifanya anawajali abiria wa Dar. Nani anahitaji huruma ya fisadi? To hell with Kisena and your co.
 
Back
Top Bottom