Mkwara wa Ali Rajinani kwa Trump na Netanyahu

Mkwara wa Ali Rajinani kwa Trump na Netanyahu

Ila kama hii ni kweli basi nadhani Iran hii vita waiangalie kwa jicho lingine. Hasara waliyopata ni kubwa sana. Wamepoteza watu wa maana sana. Yaani ni kama jama hamna maana tena.
 
Huwezi kupigana na tajiri wakati unajijua wewe ni maskini lazima atakushinda tu
Hata angekuwa mimi ndo muiran unipe mfano milioni moja dollar eti nionyeshe wapi kiongozi wangu alipo nitaonyesha tu uzalendo hulishi watoto wangu au wazazi wangu kuna uwezekano nikawa mzalendo nikafia vitani zawadi yangu ikabaki kusifiwa kwenye mitandao ya kijamii wakati uko nyuma wanangu watabaki wanaangaika au wazazi wangu
Uzalendo tuachie malaika tu na majini
Kwa njaa ya Bongo, mtu anakuuza hata kwa elfu 50
 
Ali Larijani 67, katibu mkuu wa usalama wa taifa Iran kauliwa leo na makombora ya Israel Jijini Tehran.

Ni wiki iliyopita tu alikuwa akizunguka mitaa ya Tehran kwa mbwembwe akiwadhihaki Trump na Netanyahu wawe makini karibuni watakuwa eliminated.

Badala yake leo kawaishwa faster kuzimu.

Marching through the streets of Tehran, in an attempted display of strength, the security chief dismissed the Israeli-US attacks on the capital as being 'out of desperation'.

'These attacks are out of fear, out of desperation. One who is strong wouldn't bomb demonstrations at all. It's clear that it has failed,' Larijani told state TV at the Quds Day march.

Halafu usikute hao anaongozana nao kwenye picha akidhani ni salama kumbe Mossad.

View attachment 3559039

adriz de mbusii
Apewe bikira 144 kabisa akiwa na kiburi chake
 
Mkuu mbona alipigwa bomu siku ile ile ya maandamano so alijua tu atakufa. Maana ukishajitokeza wazi si obvious unakua tracked kuanzia uliporudi hadi ulipolala.

But he took the ultimate sacrifice kama to Mkwawa au Patrice lumumba hawakukimbia nchi ila waliuwawa na wavamizi.


Ha ha ha... Asingekuwa anatembea na walinzi na asingekuwa anajificha. Mnajidanganya sana.
 
Marekani anaomba msaada kutoka china 🤣
Screenshot (90).png
 
Alijificha wapi? Si alikuwepo kwenye maandamano ya wazi. Na hata kauwawa kwenye ofisi sio handaki. He wasn't a coward

hata mimi naona wameamua martyrdom for islam, hakuna namna nyingine mtu unaweza kulieleza hilo, i mean, kama najua natafutwa na nawindwa sitaenda ofisini wala nyumbani sikai najifungia kwenye mahandaki huko kama panya.

to each his own lkn binafsi nashindwa kuwaelewa kwa maana 5 years from now hakuna mtu atawakumbuka na iran will have moved on so sidhani kama its worth it kufa namna hiyo, kwanza siamini hata kama wanaipenda kweli nchi yao ya irani kwani kama kweli wangeipenda wangeshasalimu amri yaishe nchi ipone sasa infrastructure yote walioijenga kwa tabu inabomolewa, kama kweli wanaipenda nchi yao wangekibali yaishe nchi ipone angalau tu hata infrastructure ibakie ...
 
Back
Top Bottom