kakuruvi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2009
- 770
- 259
Mzee mmoja aliibiwa pesa kwenye daladala, akapaza sauti ''jamani aliyeniibia pesa yangu tafadhali anirudishie haraka nisije nikafanya kama nilivyofanya mwaka juzi''
Watu wote wakabaki kimya mwizi akaogopa akaamua kujitokeza kurudisha na kuomba msamaha. Watu wakamuuliza kwani mwaka juzi Babu ulifanya nini ulipoibiwa?
Mzee akawajibu '' nilitembea kwa miguu toka Kariakoo mpaka nyumbani Mbagala'' du watu haaahahahahaaaaaaaa kwa kicheko!