mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,772
- 4,642
Kwa upu.pu huu nina mashaka kama unafahamu vizuri namna system ya serikali inavyofanya kazi,Sasa mkurugenzi wa halmashauri na mkuu wa wilaya nani mkubwa? Ni sawasawa na kusema rais hana mamlaka, ila katibu mkuu kiongozi ndio anayo. Acheni upumbavu wa kuzungusha mikono...fanyeni utafiti...wakuu wa mikoa na wilaya ni watu wazito sana TAMISEMI. Hivyo ishu yoyote inayohusu watumishi wa umma katika wilaya au mkoa...ipo chini ya mamlaka ya wakuu wa wilaya na mikoa respectively. Wakuu wa wilaya ndio wawakilishi wa rais katika wilaya husika. Sio nafasi ndogo hii.
Kinacho wakera wengi ni kuona kuwa wakuu hao wa wilaya na mikoa ni makada wa CCM...mmesahau kuwa hata rais wa nchi nae ni kada wa CCM...hahahaha
Hivi unafahamu mamlaka ya nidhamu ya mtumishi wa umma ni nani???
labda tuanzie hapo