Mkuu wa Wilaya ya Mkalama amemfukuza kazi Afisa Afya wa Wilaya kwa makosa ya Ubadhirifu

Chosen generation

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Messages
4,394
Points
2,000

Chosen generation

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2014
4,394 2,000
Hawa wakuu wa wilaya wote ni pumba tu; Zero kabisa, ametumia sheria ipi? Nawashangaa hawa watumishi wanaochapwa viboko, kuswekwa rumande na hawa majuha then wanakaa kimya. Ni uoga au? Mtaonewa mpaka lini?

Eti, mkuu wa wilaya anasema "mtu atakayeugua kipindupindu atamsweka rumande!" Kweli? Hivi wanafikiri kufagia barabara juzi na kuokota makopo ndio njia ya kuzuia cholera? Mimi huwa sipendi kuonewa hata kidogo.
 
Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
638
Points
195

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
638 195
Sasa mkurugenzi wa halmashauri na mkuu wa wilaya nani mkubwa? Ni sawasawa na kusema rais hana mamlaka, ila katibu mkuu kiongozi ndio anayo. Acheni upumbavu wa kuzungusha mikono...fanyeni utafiti...wakuu wa mikoa na wilaya ni watu wazito sana TAMISEMI. Hivyo ishu yoyote inayohusu watumishi wa umma katika wilaya au mkoa...ipo chini ya mamlaka ya wakuu wa wilaya na mikoa respectively. Wakuu wa wilaya ndio wawakilishi wa rais katika wilaya husika. Sio nafasi ndogo hii.

Kinacho wakera wengi ni kuona kuwa wakuu hao wa wilaya na mikoa ni makada wa CCM...mmesahau kuwa hata rais wa nchi nae ni kada wa CCM...hahahaha
ukiisoma vizuri sheria ya utumishi wa umma ya mwaka 2007 utaona ujinga wako umekaa wapi; usipofanya hivo hutautoa ujinga ulionao. Ndiyo maana nazidi kuamini kuwa hatuma sababu ya kimaendeleo kubaki na wakuu wa mikoa na wilaya.
 
Attachments:

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
7,076
Points
2,000

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
7,076 2,000
Sasa mkurugenzi wa halmashauri na mkuu wa wilaya nani mkubwa? Ni sawasawa na kusema rais hana mamlaka, ila katibu mkuu kiongozi ndio anayo. Acheni upumbavu wa kuzungusha mikono...fanyeni utafiti...wakuu wa mikoa na wilaya ni watu wazito sana TAMISEMI. Hivyo ishu yoyote inayohusu watumishi wa umma katika wilaya au mkoa...ipo chini ya mamlaka ya wakuu wa wilaya na mikoa respectively. Wakuu wa wilaya ndio wawakilishi wa rais katika wilaya husika. Sio nafasi ndogo hii.

Kinacho wakera wengi ni kuona kuwa wakuu hao wa wilaya na mikoa ni makada wa CCM...mmesahau kuwa hata rais wa nchi nae ni kada wa CCM...hahahaha
Sisi ambao shughuli zetu ni mahakamani tunakushangaa jinsi ulivyo kisiasa zaidi, sheria kwako ni jitu lisilofaa. Mkuu wa wilaya hana mamlaka ya kinidhamu kwa watumishi wa halmashauri, mwajiri wa watumishi ni baraza la madiwani na wala si mkurugenzi wala mkuu wa wilaya kwa mujibu wa sheria za serikali za mitaa. Hata rais hana mammlaka ya kufukuza mtumishi wa umma sana sana atamuagiza afisa mwajiri achukue hatua. Mwulize mkapa alipowafukuza wale makamishina wa polisi punde baada ya kushika madaraka, walienda court, kesi wakashinda na kulipwa pesa ndefu.
 
Halfcaste

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2010
Messages
972
Points
225

Halfcaste

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2010
972 225
Hawa wakuu wa wilaya wote ni pumba tu; Zero kabisa, ametumia sheria ipi? Nawashangaa hawa watumishi wanaochapwa viboko, kuswekwa rumande na hawa majuha then wanakaa kimya. Ni uoga au? Mtaonewa mpaka lini?

Eti, mkuu wa wilaya anasema "mtu atakayeugua kipindupindu atamsweka rumande!" Kweli? Hivi wanafikiri kufagia barabara juzi na kuokota makopo ndio njia ya kuzuia cholera? Mimi huwa sipendi kuonewa hata kidogo.
Safi sana Kiongozi! Matanzania majinga sana!
 
kazi tu

Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
73
Points
0

kazi tu

Member
Joined Nov 28, 2015
73 0
Hivi Nyie watanzania humu jf mbona Mwizi wa mtaani huwa hamsemi subiri akapigwe nyumbani kwao na wazazi wake?? Mbona kila anayepita huwa anachukua kahatua kake tena saa ingine hakafai kabisa tena bila hata ushahidi. Je huwa mnaona poa tuu? Leo Mhe. kachukua hatua tena ya kistaaarabuu tu imekuwa issueeee.

Haya mie kesho nateuliwa kuwa tehhhhhh ah haaaa badilini ajenda jamani......
 
CHENGU MANURE

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2015
Messages
910
Points
250

CHENGU MANURE

JF-Expert Member
Joined May 26, 2015
910 250
WAtu kama hawa ndio wanaitia hasara taifa.

Unaamka unamchap mwalimu fimbo, Mara kesho unawalazimisha unawapeleka watu lupango kisa wamefungua maduka wewe ulitaka wafagie wilaya, mwingine anazua likizo za watu.

Hivi vyeo kama wanashindwa kuelewa job discriptions zao vifutwe tu. tubaki na wakurugenzi.

Utaratibu wa kumshughulikia mla rushwa uko wazi
 
Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
14,004
Points
2,000

Moisemusajiografii

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
14,004 2,000
Jibu swali
Mkuu wa wilaya ana mamlaka ya kumfukuza mtumishi kazi?
Usiniite mkuu kama una akili za kibwege
Hebu mwambie huyo mtu.Kila kitu lazima kifanyike kwa mujibu wa kanuni,taratibu na sheria za nchi.
Siyo mteuliwa fulani kujitwika mamlaka yasiyo yake na kufanya dhulma tu.Mpira pasi ili ulete magoli murua.Angempa mwenye mamlaka yake muajiri wa huyo mtumishi atimize uondoaji shaka wa mtuhumiwa.
Ikitokea mtuhumiwa ameonewa itakuwaje?Ukila ya mbuzi si kweli utaota mapembe....labda ya kufikirika tu.
 
eveready

Senior Member
Joined
Aug 28, 2015
Messages
160
Points
0

eveready

Senior Member
Joined Aug 28, 2015
160 0
mtu kaiba amefukuzwa kazi mnaanza kumponda kweli ELIMU ELIMU ELIMU inahitajika
Tatizo ni moja,mwenye mandate hiyo sio DC maana yupo kiasiasa zaidi...sisi tutajuaje kama anajitafutia umaarufu yeye n chama chake..kuna taratibu za kumfukuza Mtumishi kazi na zote hiz ziko chini ya DED,na anatangaza kumfukuza kazi ni DED baada ya vikao kadhaa na vingine vikihusisha madiwani na wote wajiridhishe ana kosa.sasa hili LA DC ndo tunashangaa...labda kama kuna sheria mpya.
 
Forum statistics

Threads 1,389,268
Members 527,879
Posts 34,021,556
Top