Mkuu wa Wilaya ya Kiteto azima mapigano ya wakulima na wafugaji

JAMHURI

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
449
60
Mkuu wa wilaya ya kiteto Kanal Samuel Nzoka amezima mapigano ya wakulima na wafugaji wa maeneo ya Kinua na Ngeju yaliyotaka kutokea.

Kwa mujibu wa mkuu huyo wa wilaya ameeleza chanzo in baadhi ya wanajamii ya kifugaji wamasai kuzuia wakulima wasifanye shughuli za kilimo kwenye maeneo yao kwa madai yametengwa.

Amesema pamoja na kuwepo mpango huo bado mamlaka haijatoa tamko bado na kuna hatua tatu zilizobakia ambazo wapimaji wanasubiriwa kuzikamilisha.

DC Nzoka ametoa wito kwa jamii ya kifugaji kuacha tabia za kujichukulia sheria mikononi.
 
Back
Top Bottom