Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 842
- 1,743
Wakuu kumekuwa na habari zinatoka kando ya bwawa la mtera hasa maeneo ya kijiji cha mlazo kuwa wakulima na wafugaji wa kimasai wanafukuzwa kupisha hifadhi ya mbuga ya wanyama ambayo haina jina
Wanafukuzwa pia kupisha samia project inayohusu kilimo
Wnafukuzwa pia kupisha project ya mchina ambae hawajui anafanya ishu gani
Tatizo linakuja hawa wakulima na wafugaji kutokulipwa hata sent ya maeneo yao na uwepo wa viongozi wakubwa wanaokuja kwa siri bila ya kuwa na msafara
Cha ajabu nimeenda google labda kuitafuta hiyo miradi iliyo wilaya ya chamwino kata ya ngh'ambako kijiji cha mlazo na vitongoji vyake haipo
Ajabu zaidi ni ukubwa wa miradi na usiri wa hata waandishi wa habari kutoweza kuwajuza watu nini kinaendelea kule
Habari hizi nimezipata kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi aliyopo huko shamba wakuu mliopo mitaa hiyo hasa kina mpwayungu village unaweza tujuza zaidi maana ni karibu na huko