Mkuu wa Wilaya ya Arumeru aamuru kukamatwa kwa waandishi

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru aamuru kukamatwa kwa waandishi

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,623
Reaction score
8,426
ARUMERU, ARUSHA: Waandishi Bahati Chume(Mwananchi) & Doreen Aloyce(Sunrise Radio) wakamatwa kwa amri ya DC - Wapo kituo cha Usa River.


=====
Taarifa kwa hisani ya JamiiForums Twitter;
hg.png
 
Magufuli in the making hayo si ni motto wa dada yake anatekeleza ya baba yake
 
Nitafuga mbwa ili akija mwizi niseme kamataaaa! Ili neno la kamata kamata litimie
 
Back
Top Bottom