Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,356
tehe tehe huyo mkuu wa wilaya naona anawazimu anacheza na peoples power eeenh! soon atahamishwa huyo
Kwanini wanafungua kata shuleni? au wakaazi wa hiyo kata ni wanafunzi na waalimu wao tu!
Sasa kama wananchi hao wanakabiliwa na balaa la njaa watachanga nini? siwatumie pesa kidogo walizonazo kujinunulia chakula. Tundu Lisu analaumiwa kwa lipi hapo? Na Mabiti atapambana na Lisu kwa lipi? mbona anachekesha!
Hiyo hotuba ni ya wananchi au viongozi wa kata?? Maana wanachokilalamikia na anachowashauri lissu ni kitu kilekile!
Mkuu wa Wilaya ya Singida Pascal Mabiti akizungumza na wananchi wa Kata Mpya ya Lighwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida.
Mkuu wa Wilaya ya Singida Paschal Kulwa Mabiti ameahidi kupambana na Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu, kutokana na kile alichodai kuwa Mbunge huyo amewadanganya wananchi wasichangie fedha kwa ajili ya miradi mbalimbali ya maendeleo katika jimbo lake.
Katika risala hiyo, wananchi pia wameiomba serikali kuwapatia msaada wa chakula ili kukabiliana na tishio la njaa, wajengewe ofisi ya kata, huduma ya maji safi kwa kuchimbiwa visima virefu na kukarabati bwawa kwa ajili ya matumizi ya mifugo yao.
.
Kama mnakumbukumbu nzuri huyu Mabiti (Hyenasau mafisi) ni mshatakiwa wa kesi fulani za haki za binadamu huko Serengeti alitakiwa na tume ya haki za binadamu ashughulikiwe kwa kukiuka haki za msingi za raia. Sasa leo anasema awachangishe watu wenye njaa wachange nini. Huyu anatakiwa apelekwe kwa OCAMPO