Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 49,734
- 89,337
Astaghifilullah..!maisha haya bwana ! yani ka kitobo tu kamefanya mtu apate ukuu wa wilaya
Astaghifilullah..!maisha haya bwana ! yani ka kitobo tu kamefanya mtu apate ukuu wa wilaya
Daaah we jamaa kichaa sanaaaaEm tuwe wakweli wanaume wenzangu nani mwenye uthubutu wakumnyima mtoto joketi hiyo nafasi? Mimi hata Bunge lenu ningeuza tu mngejenga jingine

Mkuu nakushauri njoo KIBAIGWA huku tuuze Mahindi! Soon tutakupotezannaweza kupata nafas ndani ya moyo wake kwa sasa? maana tangu zamani nlikua nammezea mate
Unamipasho kama Khadija Kopa!Utajijuuu....
Wakikutumia Mkuu nitagMwenye ile picha aliyovaa kanga tupu, naomba.
Wivu utakuua.Unamipasho kama Khadija Kopa!
Mimi nina mume wangu siwezi kuwa na Woburn na wewe bwana mipasho lakini ninakujali Mtanzania mwenzanguWivu utakuua.
Unataka nikuoe?Mimi nina mume wangu siwezi kuwa na Woburn na wewe bwana mipasho lakini ninakujali Mtanzania mwenzangu
Hapana AsanteUnataka nikuoe?
Bado nitajaribu tu. Hata ukikataa.Hapana Asante
Hiyo ndoa itakufa kabla haijaanza wewe hutaweza kulalia shuka za CHADEMA na mimi nina allergy na kila kitu kinachohusu CCMBado nitajaribu tu.
Duh.Hiyo ndoa itakufa kabla haijaanza wewe hutaweza kulalia shuka za CHADEMA na mimi nina allergy na kila kitu kinachohusu CCM
Mm natumia ile niliopewa na machingaNa huyu kashaanza Kuvaa Bendera!!! Awamu hii si Mchezo..
Wewe kinachokusumbua ni husda tu unasema "fake"ulitaka upewe wewe huo uDC ndo ingekuwa sio fake?!!Mpaka Afande anajua this is fake. Hawapigagi saruti huku meno yote 32 yapo nje.
Haha.. sawa Mkuu.Mm natumia ile niliopewa na machinga
Uchu tu, ila hata mi nimependa aisee! Ha ha haaaaaAnashika pen vzr aiseee na hvo
Vidole amevikunja vzr mpaka utamu
Haa haa aiseee kanavutia kias chakeUchu tu, ila hata mi nimependa aisee! Ha ha haaaaa