Em tuwe wakweli wanaume wenzangu nani mwenye uthubutu wakumnyima mtoto joketi hiyo nafasi? Mimi hata Bunge lenu ningeuza tu mngejenga jingine
Si bora nimekua muwazi tuu mazee?We jamaa unaua bwana...dah!nimecheka kwa sauti
Wasukuma ni washamba sanamaisha haya bwana ! yani ka kitobo tu kamefanya mtu apate ukuu wa wilaya
Nop ni skafu alivishwa na skauti alipofika ofisiniNa huyu kashaanza Kuvaa Bendera!!! Awamu hii si Mchezo..
Utajijuuuuu!!Wasukuma ni washamba sana
naunga mkono hoja tena mm ningempa jiji la dar akawe mkuu wa mkoa kabsaEm tuwe wakweli wanaume wenzangu nani mwenye uthubutu wakumnyima mtoto joketi hiyo nafasi? Mimi hata Bunge lenu ningeuza tu mngejenga jingine
Rambi rambi zikimuona zinatetemeka.huyo steve nyerere kwa kujipendekeza hajambo? kijamaa kinajifanyaga kina akili kuliko wasanii wote