Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo

Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo

Hahahaha
Kaaazi kweli kweli walahi
That’s all!
 
Picha kama hizi mtandaoni mwisho wa siku atasema tunamdhalilisha
 
Despite mambo yake aliyopitia. Amependeza sana kwenye hiyo picha.
Ni vyema watu wakubali kuwa she is muheshimiwa yaliyopita kuhusu picha zake nk ni kwa vile alikuwa kwenye fani ya entertainment na ili asurvive it waz lazima afanye aliyofanya
Saizi kabadili kazi hawez kufanya mambo ya urembo.Afande kafurahia kumuona celebrity na wala sio dharau but mheshimiwa haamini kuwa ni mzito kwa kiasi cha maofisa wakubwa kama hao kumpigia salute but atazoea
 
Back
Top Bottom