MKUU wa shule azini ofisini,mkurugenzi amtetea

MKUU wa shule azini ofisini,mkurugenzi amtetea

uchafu gan tena ? sio ajabu anafanya ngono na mtoto wa form two ambaye huenda analingana na mwana,tuteme mate kupinga hili.
 
Huyo mwanafunzi c ameenda oficn mwenyewe?kwani alipelekwa na tingatinga?
 
Acha kukurupuka kwanza awali ya yote ungefanya utafiti kufahamu ukweli halafu ndiyo ukatujuza.
Nimependa sana alivyotuelewesha kyolumuli alivyotuhabarisha kwani yeye amechukua pande zote na akahitimisha.
Kwa jinsi ulivyoandika unaweza kufanya watu wakaua kutokana na taarifa ambayo haijakamilika
 
Kwa Mwanza mbona hii ishu ni ndogo sana tu! Tatizo la watanzania ni usahaulifu, hivi hata habari ya mwaka jana ya afisa utumishi wa jiji la Mwanza Bw. Songoma aliyekamatwa 'LIVE' na PCCB akijiandaa kupokea rushwa ya ngono hadi maafisa wa wa Takukuru wakamkebehi eti 'hata kondomu huna!'. Huyo bwana sasa hivi ndiye afisa utumishi mkuu wa manispaa mpya ya Ilemela!
 
nani mjinga kati ya anayetoa penzi na anayepewa hvi kati ya anayetoa pexa na anayepewa nan zaidi tcha kajilambia muache vtoto vya siku hzi vijinga baada yakuxmaga shule vinawaza kugawa virusi mavazi wanayovaa utakufa dar ha segerea darajani au tandika watoto form one wanakula ngada ,widi na fegi nani apewe lawama muuza fegi au gambez watoto wanazngua xana cku hzi
 
Kwa mawazo haya hatutafika mbali,kwanini kuna watu wanaitwa mafataki,na kwanini kuna sheria iliyomfunga papii kocha Nguza na haikuwafunga watoto aliowaingilia?
amka wewe jitambue.
 
Huyo mwanafunzi c ameenda oficn mwenyewe?kwani alipelekwa na tingatinga?
Nawe ukibakwa nakichaa njiani tutakupita tukisema umemchokoza mwenyewe.
Kama ilivyoharali mpita njia kupita njiani ndivyo ilvyo harali mwanafunzi kuingia ofisini kwa mwalimu.
 
kinana anakula tembe, liyumba anakula epa, mamvi anakula richmond unategemea mkuu wa shule ale chaki tuuu, then kapuya aje kufaidi, bora aanze kufaidi mwenyewe
 
Nawe ukibakwa nakichaa njiani tutakupita tukisema umemchokoza mwenyewe.
Kama ilivyoharali mpita njia kupita njiani ndivyo ilvyo harali mwanafunzi kuingia ofisini kwa mwalimu.
​whrvr!!
 
Back
Top Bottom