Mkuu wangu analo halafu na anavyojenga visasi kwa walimu unapochangia hoja ya kujenga atumbuliwe tuHabari wanaJF,
Katika juhudi za kukuza na kuimarisha sekta ya Elimu katika ngazi ya mkoa basi Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Zelothe Stephen aagiza wakuu wa shule zinazofanya vibaya mkoani humo wachukuliwe hatua za kinidhamu.
Ikumbukwe mkuu wa mkoa huyu pia aliwahi kumuagiza Kamanda wa Polisi mkoa huo, Jacob Mwaruanda kuwasaka na kuwakamata watumishi hewa 18 waliobainika katika uhakiki uliofanyika katika halmashauri zote mkoani humo.
Mkuu unakosea na utaniwia radhi uelewe kua mwalimu ni sehemu tu ya mwanafunzi kufaulu ila kuna mambo mengi yanayopelekea mwanafunzi afanye vizur kwa hyo kushabikia eti waalimu wachukuliwe hatua ni kuonyesha kutokua na uelewa wa process nzima ya learning tuwe tunakuja na hoja za msingi waungwana naomba kuwasilishaNahis sisi tunaochangia kuponda agizo la RC ndio Nonsence.