Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,982
- 4,164
Aisee.
Naomba nikuulize,huyo dr hakwenda darasani bali anatumia vyeti fake au ameenda darasani lakini kwa kutumia jina la mtu mwingine?Kama mkuu wa mkoa wa Morogoro unamwakilisha Mhe. Magufuli, basi agiza vyeti vya mtu anayejiita Dr. Haruni Nyagori, ambaye amekuwa akitumia vyeti feki, na kujiita daktari bingwa wa moyo. Anapata mshahara mkubwa asiostahili. Kuna thread hapa chini na gazeti la Raia Mwema waweza zipitia.
Na hata gazeti la Raia Mwema lilishawahi kumuandika
Elimu yake inayotambulika na wale aliosoma nao ni Ordinary Diploma in Clinical MedicineNaomba nikuulize,huyo dr hakwenda darasani bali anatumia vyeti fake au ameenda darasani lakini kwa kutumia jina la mtu mwingine?
Na kama ameua? Kama hana vyeti akafungue kliniki kama ya Dr. MwakaKama ashawahi kutibu watu na wakapona na bado mnamtuhumu hivyo wacha aendelee na kazi yake
Na kama ameua?
Kama hana vyeti akafungue kliniki kama ya Dr. Mwaka
Be first to reply
Ushahidi ni vyeti vyake. Wakisema huna cheti si unatoa kwa maringo?Ushaidi upo? apelekwe mahakamani
Kwani Dr. Mwaka hana vyeti? Au na yeye ni mganga wa kienyeji?
Mamlaka husika itakuwa ishapitia .... wacha aendelee kufanya kazi yake kwa amaniUshahidi ni vyeti vyake. Wakisema huna cheti si unatoa kwa maringo?
Kwanini sasa wanakagua vyeti? Kwani wakati wanaajiriwa hawakuonesha?Kwani aliajiriwa vipi?. Ukiajiriwa vyeti havifanyiwi uhakiki?
Kwa hiyo sehemu wanazodai vyeti sasa wanakosea? Amani ipi unayosema? Ya mgonjwa au ya huyu jamaa? Kampelekee ndugu yako akamtibu upate amani.Mamlaka husika itakuwa ishapitia .... wacha aendelee kufanya kazi yake kwa amani
😆😆😆Mhhhhhh