tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,307
- 4,585
Kama mkuu wa mkoa wa Morogoro unamwakilisha Mhe. Magufuli, basi agiza vyeti vya mtu anayejiita Dr. Haruni Nyagori, ambaye amekuwa akitumia vyeti feki, na kujiita daktari bingwa wa moyo. Anapata mshahara mkubwa asiostahili. Kuna thread hapa chini na gazeti la Raia Mwema waweza zipitia.
Na hata gazeti la Raia Mwema lilishawahi kumuandika
Update:
Ukisoma profile ya Nyagori linkedin inaonesha kati ya 2005 hadi 2011 alikuwa mwanafunzi wa Lugansk huko Ukraine, lakini pia anaonesha katika ya mwaka 2008 hadi mwaka 2012 alikuwa Medical Officer Incharge wa Mbeya Regional Referral Hospital na pia kama Physician Cardiologist. Lakini wanaomfahamu wanasema alifanya internship Mbeya Referral Hospital mwaka kati ya 2006 hadi 2007, ambako kwa kuwa hajui kitu, zamu zake zote alikuwa akiwauzia madaktari wenye njaa wazifanye.
Kuna wakati alikuwa anaonesha kasoma Cardiology Switzerland, na kuna kipindi aliandika kasoma Germany. Sasa wajiuliza ilikuwaje miaka hiyo aoneshe alikuwa shule wakati alikuwa mkoani Mbeya (ambako alifukuzwa baadaye) hasa ukizingatia kozi alizosoma huwezi fanya ukiwa nje ya chuo?
Mytake
Serikali hususani mamlaka za TAMISEMI na Wizara ya Afya vimchunguze Dr. Harun Nyagori wa Morogoro.
Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwa madaktari wa digrii hasahasa waliosoma vyuo vya Russia na Ukraine.
Serikali ichunguze uhalali wa mishahara kwa baadhi ya madaktari kama Nyagori, ambaye mara baada ya kuingia tu kwenye ajira alipewa scale kubwa isiyomstahili
Serikali ichunguze uhalali wa vyeti vya sekondari vya madaktari, hasahasa vyeti vya form VI. Madaktari wengi walifoji vyeti vya form VI