Hivi kwanini hizi taasisi za serikali kama shule, zahanati, vituo vya polisi;havijengwi kwa ramani moja kama zamani?
Kwasababu zamani ukiona tu majengo unajua hii ni shule. Lakini leo hii wengine wanajenga kama vile ni nyumba za wageni au hotel! Sijapenda!