Mkuu wa Mkoa wa Iringa yuko wapi?

Mkuu wa Mkoa wa Iringa yuko wapi?

Toka ajidabue kuwa na waandishi wa habari wanapswa kuwa na vitambulisho akawa kimyaaa....naona kaona hali si hali..kwanza kijitu chenyewe kina jina la kike😏😏😏...kile unakutana nacho mfano lounge...unakategea kamelewa...kakienda chooni unakafata..unakabana mbavu km 10min..hadi kapate pneumonia shenzy kbs!
 
Kulazwa makaburini sio mchezo, pia kaliwataka wanahabari wawe na ‘kitambulisho’ wakakikemea.... sasa camera hakuna tena.
Wanahabari tumeamua tumpoteze kwanza...
 
Aliyekua anapenda makamera hadi anabebwa mgongoni ni DC Kasesela sio RC,naye naona alipoa baada ya kuletewa kafidodido kapenda makamera toka Kinondoni. Nako kakatulizwa makaburini....ngoja nimuite Egnecious
Kumbe nao wana wababe wao wasiojulikana, wanawateka na kuwaacha makaburini wakiwa utupu. Tz kila mtu mbabe!
 
Mzuqa

Kale ka mkuu wa mkoa wa Iringa mwenye sifa za kisoro na za kijingayuko wapi siku hizi?

Mbona hasikiki siku hizi na mbwembwe zake? Jamaa kalikuwa media attention kutafuta sifa za kishaynzy kumfurahisha jiwe.

Yani alikuwa ana stage matukio mbele ya kamera kwa kubebwa mgongoni kwenye mafuriko.

Alikuwa anaombea matukio na majanga ya asili yatokee auze sura kwenye media Jiwe ampende zaidi.

Cha kustaajabisha kawa kimya siku hizi sijui kwanini? Ama alisgashtuka Jiwe anampotezea nini.

Yani hii nchi ya ajabu sana. Grown up people speak and act childishly with their high education and learning.

Maybe behind close doors the likes of "jalalani prof" even lick Jiwes feet.

Amerudi kwao. Mch. P. Msigwa si alimwambia Iringa si yake na aache wanasiasa walumbane na yeye afanye majukumu yake?
 
Toka ajidabue kuwa na waandishi wa habari wanapswa kuwa na vitambulisho akawa kimyaaa....naona kaona hali si hali..kwanza kijitu chenyewe kina jina la kike😏😏😏...kile unakutana nacho mfano lounge...unakategea kamelewa...kakienda chooni unakafata..unakabana mbavu km 10min..hadi kapate pneumonia shenzy kbs!

Umeandika kibabe kweli kweli ,,unaweza kupiga push up hata kumi tu kweli rafiki angu.??
 
Toka aseme waandishi wa habari wawe na vitambulisho vya wajasiriamali naona kapotea
 
Mzuqa

Kale ka mkuu wa mkoa wa Iringa mwenye sifa za kisoro na za kijingayuko wapi siku hizi?

Mbona hasikiki siku hizi na mbwembwe zake? Jamaa kalikuwa media attention kutafuta sifa za kishaynzy kumfurahisha jiwe.

Yani alikuwa ana stage matukio mbele ya kamera kwa kubebwa mgongoni kwenye mafuriko.

Alikuwa anaombea matukio na majanga ya asili yatokee auze sura kwenye media Jiwe ampende zaidi.

Cha kustaajabisha kawa kimya siku hizi sijui kwanini? Ama alisgashtuka Jiwe anampotezea nini.

Yani hii nchi ya ajabu sana. Grown up people speak and act childishly with their high education and learning.

Maybe behind close doors the likes of "jalalani prof" even lick Jiwes feet.
Sasa wewe upo uko ubeberuni unabeba box uyo mchumia tumbo wa iringa utamuonea wapi
 
Toka ajidabue kuwa na waandishi wa habari wanapswa kuwa na vitambulisho akawa kimyaaa....naona kaona hali si hali..kwanza kijitu chenyewe kina jina la kike[emoji57][emoji57][emoji57]...kile unakutana nacho mfano lounge...unakategea kamelewa...kakienda chooni unakafata..unakabana mbavu km 10min..hadi kapate pneumonia shenzy kbs!
Teh teh teh teh!!!!
 
Mzuqa

Kale ka mkuu wa mkoa wa Iringa mwenye sifa za kisoro na za kijingayuko wapi siku hizi?

Mbona hasikiki siku hizi na mbwembwe zake? Jamaa kalikuwa media attention kutafuta sifa za kishaynzy kumfurahisha jiwe.

Yani alikuwa ana stage matukio mbele ya kamera kwa kubebwa mgongoni kwenye mafuriko.

Alikuwa anaombea matukio na majanga ya asili yatokee auze sura kwenye media Jiwe ampende zaidi.

Cha kustaajabisha kawa kimya siku hizi sijui kwanini? Ama alisgashtuka Jiwe anampotezea nini.

Yani hii nchi ya ajabu sana. Grown up people speak and act childishly with their high education and learning.

Maybe behind close doors the likes of "jalalani prof" even lick Jiwes feet.
Yupo anapiga kazi kama kawaida
 
kwa namna anavyochapa kazi na kutatua kero mbalimbali za wanyonge huko Iringa, sidhani kama Mheshimiwa anastahili hizi kejeli. Kwakweli anajituma haswa kwa maslahi ya jamii. Tukiwa na vijana wazalendo, waadirifu na wachapakazi kama huyu wa Iringa katika mikoa yote, Taifa litasonga. Kaka piga kazi, hii mipasho isikuvunje moyo
 
Hv huyu dc alishaendaga wapi kiongozi?
Aliyekua anapenda makamera hadi anabebwa mgongoni ni DC Kasesela sio RC,naye naona alipoa baada ya kuletewa kafidodido kapenda makamera toka Kinondoni. Nako kakatulizwa makaburini....ngoja nimuite Egnecious
 
Chezea wandishi wa habari,alipewa siku saba na wandiahi wa habri hapo Iringa
 
Back
Top Bottom