Mkuu wa Mkoa Paul Makonda ahudhuria Ibada KKKT Kimara; hataruhusu Dar kuwa lango la Madawa

Ndo maana watz mko nyuma kila kitu mbwa nyinyi, vyeti vya makonda vitawasadia nini? Unadhani vyeti vyake ndo vitataua matatizo yenu? Kama mna shda zenu mtakufa nazo tu pigeni kazi acheni makelele, mnavyopanua midomo kuhusu vyeti mtadhani mliambiwa hivyo vyeti vitabadilisha maisha yenu wapuuzi ndio maana mnadharaulika kila siku
Et e
 
Fanya sherehe usherekee machozi yake, mnakazi wananchi ya udaku haswa na wivu na chuki mbaya kama vile Mh. Makonda mnachotaka kimtokee kitawaongezea maisha mema mnayoishi. Masikini watabaki kuwa masikini, matapeli watabaki hivyo hivyo, wenye wivu ndio wataoia sababu wataona maisha yao hayajabadilika etc

Makonda oyeeeeeeeee

Anawachambua kama karanga
 
juzi alikua anaombewa na masheikh leo yupo church nahisi pia kesho ataenda kwa waganga

ila kumaliza ishu atoe vyeti, hakuna marefu yaiyo na ncha

ila nashangaa kwanini now days makanisani pamekua ukumbi wa wanasiasa kwanini wasisali na kuondoka
 
Kitendo kinachofanywa na mkuu wa mkoa wa dsm kulia kanisani ni ishara mbaya kwanza yeye ni mwanaume na kwa desturi ya wanaume ukiona analia ujue kafikwa shingoni anakaribia kuzama maji sasa najiuliza mkuu wetu wa mkoa kashikwa na nini? Kila anapolia huwa hatoi sababu ya kulia kunani lazima ajikaze kisabuni yeye ni baba na mlezi wa mkoa hapaswi kulialia ovyo hadharani mi nilisikia ana changamoto ya cheti chake kweli cheti yaan gamba ni karatasi lililochapishwa likulize daaah bora hata kama kingekuwa kimepotea tungesema ishu lakini napo hupaswi kulia saiz ukienda baraza unapata kingine sasa kinachomliza ni nini nashauri awe makini awe mwanaume wa kweli akabiliane na changamoto n bora yupo CCM maana prof lipumba alipigwa tanganyika jeki, Slaa alivunjwa mkono, Gwajima alisota rumande, Sumaye amenyang'anywa ardhi hayo yangempata yeye watu si aangejua kuna msiba kabisa ashauriwe vizuri
Wewe ni mchonganishi tu

Karambe ganda tu
 
Fanya sherehe usherekee machozi yake, mnakazi wananchi ya udaku haswa na wivu na chuki mbaya kama vile Mh. Makonda mnachotaka kimtokee kitawaongezea maisha mema mnayoishi. Masikini watabaki kuwa masikini, matapeli watabaki hivyo hivyo, wenye wivu ndio wataoia sababu wataona maisha yao hayajabadilika etc

Makonda oyeeeeeeeee

Anawachambua kama karanga
Daaah kweli kiswahili kigumu sana maneno yako nimeambulia patupu.sijaelewa ulichokiandika unamaanisha nini?
 
Jamaa huwa ana mbwembwe kweli.

Kumbe anatumia cheti cha mtu.

Hii ni hatari kwa maendeleo ya nchi yetu.

Kitendo kinachofanywa na mkuu wa mkoa wa dsm kulia kanisani ni ishara mbaya kwanza yeye ni mwanaume na kwa desturi ya wanaume ukiona analia ujue kafikwa shingoni anakaribia kuzama maji sasa najiuliza mkuu wetu wa mkoa kashikwa na nini? Kila anapolia huwa hatoi sababu ya kulia kunani lazima ajikaze kisabuni yeye ni baba na mlezi wa mkoa hapaswi kulialia ovyo hadharani mi nilisikia ana changamoto ya cheti chake kweli cheti yaan gamba ni karatasi lililochapishwa likulize daaah bora hata kama kingekuwa kimepotea tungesema ishu lakini napo hupaswi kulia saiz ukienda baraza unapata kingine sasa kinachomliza ni nini nashauri awe makini awe mwanaume wa kweli akabiliane na changamoto n bora yupo CCM maana prof lipumba alipigwa tanganyika jeki, Slaa alivunjwa mkono, Gwajima alisota rumande, Sumaye amenyang'anywa ardhi hayo yangempata yeye watu si aangejua kuna msiba kabisa ashauriwe vizuri
 
Kwahiyo Mheshimiwa Rais aliposema anatafuta watumishi wenye vyeti feki alikuwa na chuki na watumishi?

Mwambie RC aache kulia aoneshe vyeti.

Fanya sherehe usherekee machozi yake, mnakazi wananchi ya udaku haswa na wivu na chuki mbaya kama vile Mh. Makonda mnachotaka kimtokee kitawaongezea maisha mema mnayoishi. Masikini watabaki kuwa masikini, matapeli watabaki hivyo hivyo, wenye wivu ndio wataoia sababu wataona maisha yao hayajabadilika etc

Makonda oyeeeeeeeee

Anawachambua kama karanga
 
Fanya sherehe usherekee machozi yake, mnakazi wananchi ya udaku haswa na wivu na chuki mbaya kama vile Mh. Makonda mnachotaka kimtokee kitawaongezea maisha mema mnayoishi. Masikini watabaki kuwa masikini, matapeli watabaki hivyo hivyo, wenye wivu ndio wataoia sababu wataona maisha yao hayajabadilika etc

Makonda oyeeeeeeeee

Anawachambua kama karanga
Kwani kwenda kulia kanisani na kuonesha vyeti vyake kipi rahisi?
 
Ndo maana watz mko nyuma kila kitu mbwa nyinyi, vyeti vya makonda vitawasadia nini? Unadhani vyeti vyake ndo vitataua matatizo yenu? Kama mna shda zenu mtakufa nazo tu pigeni kazi acheni makelele, mnavyopanua midomo kuhusu vyeti mtadhani mliambiwa hivyo vyeti vitabadilisha maisha yenu wapuuzi ndio maana mnadharaulika kila siku
Bibie upo? tumia kichwa maka.. O use for matumizi mengine sawa.
 
Back
Top Bottom