Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Mungu akusamehe tatizo ni wazazi wako walikulea katika misingi isiyotakiwa ndio maana umesema hayo.Hayo maandamano yenu kafanyieni Himo, Kilimanjaro.
Mungu akusamehe tatizo ni wazazi wako walikulea katika misingi isiyotakiwa ndio maana umesema hayo.Hayo maandamano yenu kafanyieni Himo, Kilimanjaro.
Hivi, usalama wa taifa ni sehemu ya jeshi la polisi au la kujenga taifa? hivi hao jamaa wanakutana wapi?
kama kuna sehemu wanakutana, au hawakutani lakini wote ni walinzi wa usalama wa nchi na raia kwa ujumla.
Sasa kwa mantiki hiyo Chadema inapowashambulia Usalama wa Taifa, unatarajia Polisi wakutendee vizuri? Kwani hao si wana bosi mmoja wa juu??.
Mwanamke mpumbavu huivunja nyumba yake kwa mikono yake!.
Ushauri wa bure: Chadema wakaombe kuzindua M4C kwenye viwanja vya Kanisa.
Wewe t.a.k.o kweli
Mikutano ya siasa ilishakatazwa hairuhusu wakati wa kipindi cha Bunge.Nyie mnavichwa kweli.Napata wasiwasi na watu waliomo humu ndani kama wako sawa
tatizo letu Watanzania tumekua mazezeta mno, waoga wakubwa mnataka mabaliko lakini hamtaki kuyapigania na ccm imewajua,alipigwa ULIMBOKA kimya, akauwawa MWANGOSI vibaya napo kimya,likafungiwa Mwanahalisi hakuna mlichofanya sasa KIBANDA, na ccm wanaendelea kufanya ubabe bungeni kimya baada ya hapo wataanza kuua wanasiasa napo mtakaa kimya kazi kulalamika tu mkiitwa kufanya maandamano kupinga huu upuuzi mnajifanya mko busy suburini tu ccm itafanya jambo kubwa labda litawaamsha usingizini.