Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,214
tatizo letu Watanzania tumekua mazezeta mno, waoga wakubwa mnataka mabaliko lakini hamtaki kuyapigania na ccm imewajua,alipigwa ULIMBOKA kimya, akauwawa MWANGOSI vibaya napo kimya,likafungiwa Mwanahalisi hakuna mlichofanya sasa KIBANDA, na ccm wanaendelea kufanya ubabe bungeni kimya baada ya hapo wataanza kuua wanasiasa napo mtakaa kimya kazi kulalamika tu mkiitwa kufanya maandamano kupinga huu upuuzi mnajifanya mko busy suburini tu ccm itafanya jambo kubwa labda litawaamsha usingizini.
CCM ni genge la wahuni mpaka watu yawakute ndio wanapowaelewa personal i have had enough with these marauders. Binafsi nimeamua kuchukua vita vyangu personal kwanza ni exhaust the law channels ikishindikana na mimi naanza kuandamana.
Kuna huyo Mmbunge wa Mafia sijui bwana Shah, kaamia hapo nyumba jirani dude is becoming a nonsense someone needs to pay him a visit soon rather than later.