Mkuu wa mkoa mpya wa Njombe aibiwa.

Cha kustaajabisha zaidi Mkuu huyo wa Mkoa Asseri Msangi Ni Kapteni wa Jeshi La Wananchi Mstaafu..!

Kwa kawaida chenye thamani hulindwa. POLISI, CCM na Wananchi wamegundua hawana thamani. Ni makada waliochoka wenye kutafuta posho kupitia vyeo. MaRC na MaDC, wapo kwa jeuri ya CCM, wawepo wasiwepo Mkoa hauteleki.

Muulize Msangi ni mipango ya ofisi yake kwa Mkoa wa Njombe kwa miaka mitatu kama utapata.
 
nilidhani kaibiwa demu wake kumbe vitu vya ndani tu? hiyo siyo issue kwani atanunua vingine. maana mtu akiibiwa mke madhara yake ni makubwa sana kuliko kuibiwa fenicha.
 
kwa kawaida chenye thamani hulindwa. Polisi, ccm na wananchi wamegundua hawana thamani. Ni makada waliochoka wenye kutafuta posho kupitia vyeo. Marc na madc, wapo kwa jeuri ya ccm, wawepo wasiwepo mkoa hauteleki.

Muulize msangi ni mipango ya ofisi yake kwa mkoa wa njombe kwa miaka mitatu kama utapata.

we unashangaa ,mwanajeshi mbona hao ndio kikosi kazi kamuulize polisi simon aliekuwa ubungo nbc ikipeleka pesa na jinsi walivyozimwaga ak4tymsangi

tema mate chini usikutane nao hao mpwa wao kwanza kuua vingine baadae ashukuru mungu polisi wameiba tu .....leo nasoma mwananchi wanasema mkuu wa polisi amesema upelelezi unaendelea bado anashangaa hata sehemu ya nyumba akuna ulipovunjwa mlango..sasa wameingiaje hao ...

ama jamaa kajiibia mwenyewe...samahani kama kuna watoto wake kuna mkurugenzi wa kampuni moja ya simu alishaibiwa laptop 2 rosegarden na simu zake 3 live tunaona ...

tukajua binti anapeleka vitu kwenye gari asbh tunakuta analalamika kaingiliwa nyumban kwake...nikahisi na mkewe anakuwa amelala nini wakati anarudi
 
Back
Top Bottom