Mkuu wa Mkoa Dar Radioni tena leo saa nne

Mkuu wa Mkoa Dar Radioni tena leo saa nne

G55-MGODI

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,353
Reaction score
1,827
Sasa aamua kuingilia Ndondo cup, sijui anataka kusema nini tena ngoja tusubiri.....
Source: Clouds Fm
 
Anaitwa nani huyo mkuu wa mkoa?
 
Dar kweli imepata mkuu! Ni mkuu wa mkoa pekee nchini anayetumia nguvu nyingi kwenye media ili akubalike kuliko wote nchini.
Bahati mbaya ni kuwa juhudi hizo ni sawa na kuoga ili uwe safi kwa kutumia oil chafu, unachafuka zaidi.
 
Hapo kwenye neno (was), ni wakati uliopita.
Hapo kwenye neno (huge) palitakiwa uweke (big)
Ukiandika (huge) ni kiumbe hai, lakini ungeandika (big) ingeweza kueleweka kama kitendo.

Ebu ngoja niishie hapa, sababu mimi sio mwalimu mzuri aiseeee
Bado nasema aksante na nilikuwa nasema uteuzi wake ulikuwa si sahihi kwa post aliyonayo
 
Back
Top Bottom