Mkuu wa Mkoa Dar Radioni tena leo saa nne

Mkuu wa Mkoa Dar Radioni tena leo saa nne

Chief sio kosa lake walimu wetu pia wanauelewa mdogo sana na sisi ndio tunatokea huko.angalia hii najua watu wengi pamoja na mimi tumefundishwa hivi.Midumare can you repeat again..... Hapo kosa lipo je nikosa la mwanafunzi mwalimu au mfumo wetu wakupata walimu.
Mfumo wetu wa kupata walimu.
 
Sasa aamua kuingilia Ndondo cup, sijui anataka kusema nini tena ngoja tusubiri.....
Source: Clouds Fm
Hivi wana JF,
mpaka sasa hivi mmeshatambua vipaumbele vya huyo jamaa?
Mi, simuelewi elewi.
 
Soon clouds watamuajiri Kama mtangazaji wao!

Ova
 
Labda na wewe ukubali kukosolewa. Ulipotoa masahihisho ya 'huge' wewe ndio uliokosea. Hakuna kosa lolote kwenye hii sentensi.... It was a huge mistake.....Hapo hamna kosa lolote kama ambavyo wewe ulijaribu kuainisha.
Basi sawa
 
Back
Top Bottom