Mkuu wa Mkoa Dar na Halima Mdee (MB)

Tunasema hafai huyu mkuu wa wilaya!, asilete ubabe usio na mantiki, mwambie ajifunze kutoa kwa Magufuli, watu wanawatia hatia wala rushwa wa makonteina huku wakiwa na data tangu siku nyingi!, huyu jamaa ni visasi tu!

Ni kwa nini DC Makonda aliamuru Kubenea akamatwe? tunapaswa kulijua hilo kwanza tusilaumu tu

Tunasema hafai huyu mkuu wa wilaya!, asilete ubabe usio na mantiki, mwambie ajifunze kutoa kwa Magufuli, watu wanawatia hatia wala rushwa wa makonteina huku wakiwa na data tangu siku nyingi!, huyu jamaa ni visasi tu!
 
Wa kujifunza ni kubenea kwani kutafuta umaarufu ni mpaka umtukane mkuu wa wilaya?

Kubenea yeye kwenye siasa za upinzani, yupo katika kumbana zaidi, kuliko kujenga. Hata kule bungeni alienda yuko hivo na tegemea kumuona hivo, anahitaji semina elekezi.
 
Utakuwa na TEZI dume sio bure
 
Tehe..tehe.. Rutta bwana..
Kwani muda mwengine usipochangia utafukuzwa kazi?

Shida ni pale issue kama hizi mnapozitafakari kisiasa zaidi! Kwani pale Kubenea alienda kumwakilisha nani? Spika au serikali???? Issue pale ni serikali, mwajiri na wafanyakazi!!
 
Tunasema hafai huyu mkuu wa wilaya!, asilete ubabe usio na mantiki, mwambie ajifunze kutoa kwa Magufuli, watu wanawatia hatia wala rushwa wa makonteina huku wakiwa na data tangu siku nyingi!, huyu jamaa ni visasi tu!

makonda anafaa sanaa
 
Ila mkae mkijua humu tunaweza tukawa tunajibiza na MTU mmoja,maana Makonda ana ID kichele humu
 
Dogo huyu ameona kama yeye ndiyo ameula kweli. Hopeless kabisa huyu kijana.
 
Nilimlaumu sana JK alipomteua n bado nitaendelea kumlaumu.

Shida ya wa tanzania ni moja siasa na utendaji wameviweka sehemu moja. Ili ndiyo tatizo chuki ni mwanzo wa kutokutumia busara kuangalia jambo au kuchangia hoja.badilikeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…